Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ISABELA MPANDA NA LUTENI KALAMA KATIKA MTU KATI YA GLOBAL TV ONLINE

Wapenzi wa muda mrefu ambao ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda na Luteni Kalama walipohojiwa ndani ya Global TV Online kwenye kipindi cha Mtu Kati! Kwa vipindi zaidi kutoka GLOBAL TV ONLINE, INGIA: …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LUTENI KALAMA, ISABELLA MPANDA NAO NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Bella na Kalama wakipozi ndani ya Global TV Online usiku huu. Miss Ruvuma 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ na mchumba’ke ambaye ni memba wa Kundi la Gangwe Mob, Karama Bakari ‘Luteni Kalama’ leo nao wapo ndani ya Global TV Online kwa ajlii ya mahojiano kwenye kipindi cha Mtu Kati!

 

11 years ago

GPL

ISABELA MPANDA, KALAMA WAZINGUANA KINOMANOMA

Stori: Gladness Mallya
WALE wapenzi wa muda mrefu, Luteni Kalama na Isabela Mpanda hivi karibuni walizinguana kinomanoma baada ya Kalama kwenda kumchomoa kwa nguvu mpenzi wake huyo akiwa bandari ya Dar es Salaam alikokuwa akifanya taratibu za kwenda Zanzibar kushuti filamu. Chanzo chetu kilichokuwa eneo la tukio kilisema: “Sisi tulishangaa kumuona Kalama anakuja akiwa amefura, alipomuona tu Isabela akamchukua kwa nguvu,...

 

10 years ago

GPL

LUTENI KARAMA ALIVYOMVISHA PETE YA UCHUMBA ISABELA MPANDA

Luteni Karama akijiandaa kumvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Isabela Mpanda. Karama akionyesha pete ya uchumba. Wapambe wakiwa…

 

11 years ago

GPL

MAMA LORAA AINGILIA KATI PENZI LA ISABELA, KALAMA!

MAMA mlezi wa wasanii wa filamu Bongo, Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’ ameingilia kati penzi la wasanii wawili, Isabela Mpanda na Luteni Kalama lililovunjika na kuwapatanisha. Wasanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda na Luteni Kalama wakiwa katika pozi. Isabela amethibitisha kuwa ni kweli wamewekwa kiti moto na Mama Loraa ambapo walikubali kurudiana na kudai ni onyo la mwisho kwa Kalama na kama atarudia tabia za...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE ; MTU KATI NA BENNY KINYAIYA

GLOBAL TV ONLINE inakuletea EXCLUSIVE interview na Benny Kinyaiya ambapo anafunguka ishu kadhaa zikiwemo mahusiano, maisha, kazi yake na mipango yake ya baadaye. USIBANDUKE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE! Kwa videos zaidi ingia HAPA

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA YOUNG KILLER

Mwana Hip hop Young Killer 'Handsome asiyekuwa na matunzo' katika 'Exclusive Interview' GLOBAL TV ONLINE kwenye kipindi cha mtu kati! Kwa video zaidi za GLOBAL TV ONLINE, INGIA HAPA: GTV ONLINE

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA NAY WA MITEGO

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akilonga na Global TV Online katika kipindi chake maridadi cha Mtu Kati. Ungana na presenta wako Pamela Daffa 'The Mic Queen' kujua undani ya mahojiano…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA BANZA STONE

Nguli wa Muziki wa Dansi nchini, Ramadhan Masanja 'Banza Stone' akifunguka alipolonga na Global TV Online katika kipindi cha Mtu Kati!

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA H BABA, FLORA MVUNGI

GLOBAL TV ONLINE ilipowaweka kati H Baba na mkewe Flora Mvungi ndani ya kipindi chake cha MTU KATI. Kujua nini walichofunguka, angalia video hii! KUANGALIA VIDEO NYINGINE ZA GLOBAL TV ONLINE, TEMBELEA HAPA: GLOBAL TV ONLINE

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani