Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ISABELA MPANDA, KALAMA WAZINGUANA KINOMANOMA

Stori: Gladness Mallya
WALE wapenzi wa muda mrefu, Luteni Kalama na Isabela Mpanda hivi karibuni walizinguana kinomanoma baada ya Kalama kwenda kumchomoa kwa nguvu mpenzi wake huyo akiwa bandari ya Dar es Salaam alikokuwa akifanya taratibu za kwenda Zanzibar kushuti filamu. Chanzo chetu kilichokuwa eneo la tukio kilisema: “Sisi tulishangaa kumuona Kalama anakuja akiwa amefura, alipomuona tu Isabela akamchukua kwa nguvu,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ISABELA MPANDA NA LUTENI KALAMA KATIKA MTU KATI YA GLOBAL TV ONLINE

Wapenzi wa muda mrefu ambao ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda na Luteni Kalama walipohojiwa ndani ya Global TV Online kwenye kipindi cha Mtu Kati! Kwa vipindi zaidi kutoka GLOBAL TV ONLINE, INGIA: …

 

11 years ago

GPL

ISABELA, KALAMA WAMWAGANA

MWISHO umewadia! Ule uchumba wa muda mrefu wa wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda an Kalama Bakari ‘Luteni’ umevunjika kwa kinachoelezwa kuwa ni kukosekana kwa uaminifu baina yao. Wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda 'Bella' na Kalama Bakari ‘Luteni’ wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Global TV Online hivi karibuni  kabla ya kumwagana. Chanzo makini...

 

11 years ago

GPL

ISABELA: KALAMA AMENITULIZA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda amekiri kuwa mpenzi wake, Luteni Kalama ndiye aliyemtuliza  mapepe aliyokuwa nayo. Miss Ruvuma 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ na mchumba’ke ambaye ni memba wa Kundi la Gangwe Mob, Karama Bakari ‘Luteni Kalama’.
Akistorisha na safu… ...

 

11 years ago

GPL

MAMA LORAA AINGILIA KATI PENZI LA ISABELA, KALAMA!

MAMA mlezi wa wasanii wa filamu Bongo, Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’ ameingilia kati penzi la wasanii wawili, Isabela Mpanda na Luteni Kalama lililovunjika na kuwapatanisha. Wasanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda na Luteni Kalama wakiwa katika pozi. Isabela amethibitisha kuwa ni kweli wamewekwa kiti moto na Mama Loraa ambapo walikubali kurudiana na kudai ni onyo la mwisho kwa Kalama na kama atarudia tabia za...

 

11 years ago

GPL

LUTENI KALAMA, ISABELLA MPANDA NAO NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Bella na Kalama wakipozi ndani ya Global TV Online usiku huu. Miss Ruvuma 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ na mchumba’ke ambaye ni memba wa Kundi la Gangwe Mob, Karama Bakari ‘Luteni Kalama’ leo nao wapo ndani ya Global TV Online kwa ajlii ya mahojiano kwenye kipindi cha Mtu Kati!

 

10 years ago

GPL

LUTENI KARAMA ALIVYOMVISHA PETE YA UCHUMBA ISABELA MPANDA

Luteni Karama akijiandaa kumvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Isabela Mpanda. Karama akionyesha pete ya uchumba. Wapambe wakiwa…

 

10 years ago

GPL

KHOLE, KIM WAZINGUANA

Mwanamitindo, Kimberly Kardashian 'Kim'. Mdogo wake na Kim, Khole Kardashian. Khole Kardashian (kulia) na  French Montana…

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, OMMY DIMPOZ WAZINGUANA MAREKANI!

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Mwandishi Wetu MAPENZI yanatingisha dunia! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia nyota wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuzinguana laivu nchini Marekani, Risasi Jumamosi limevujishiwa na lina mchapo kamili. Chanzo makini kilichoshuhudia sakata hilo lililotokea hivi karibuni nchini Marekani kulipokuwa na hafla ya utoaji wa tuzo za Afrimma...

 

9 years ago

GPL

BELLA AMFUMANIA KALAMA

Issa Mnally MISS Ruvuma 2006 anayedaiwa kuishi mjini ‘kiujanjaujanja’, Isabellah Mpanda ‘Bella’, juzikati alimfumania Mbongo Fleva, Kalama Bakari ‘Luteni Kalama’ kwa kumkuta live na mchepuko aitwaye Winnie ambaye ni mdogo wa Bella kwa kuchangia mama, Amani lina hatua kwa hatua. Alipowafumania. Tukio hilo lilijiri nyumbani kwa Bella, Makumbusho jijini Dar es Salaam baada ya kurejea ghafla kutoka safari ya kimuziki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani