Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUTENI KALAMA, ISABELLA MPANDA NAO NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Bella na Kalama wakipozi ndani ya Global TV Online usiku huu. Miss Ruvuma 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ na mchumba’ke ambaye ni memba wa Kundi la Gangwe Mob, Karama Bakari ‘Luteni Kalama’ leo nao wapo ndani ya Global TV Online kwa ajlii ya mahojiano kwenye kipindi cha Mtu Kati!

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ISABELA MPANDA NA LUTENI KALAMA KATIKA MTU KATI YA GLOBAL TV ONLINE

Wapenzi wa muda mrefu ambao ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda na Luteni Kalama walipohojiwa ndani ya Global TV Online kwenye kipindi cha Mtu Kati! Kwa vipindi zaidi kutoka GLOBAL TV ONLINE, INGIA: …

 

9 years ago

Bongo5

Luteni Kalama kurejea baada ya kupata management

Msanii wa kundi la Gangwe Mobb, Luteni Kalama amesema aliamua kukaa kimya baada ya kukosa management ya kumsimamia. Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV jana, Kalama alisema aliona asingeweza kufanya vizuri bila kuwa na management. “Sasa hivi nimerudi kweli kwa sababu muda ambao nimekaa kimya nilikuwa sina management. Unajua hata mtoni akina […]

 

9 years ago

Bongo5

Luteni Kalama kufunga ndoa na mchumba wake Bella

Msanii wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Kalama amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake Bella. Akizungumza na Friday Night Live hivi karibuni, Kalama alisema yeye na mpenzi wake Bella wapo kwenye maandalizi ya kufunga pingu za maisha. “Bella bado niko naye ni mchumba wangu na soon ndoa itafanyika. Tulikuwa hatufanyi kwaajili ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Luteni Kalama adai Gangwe Mob itarudi ikipata management

gangwe-mobb

Member wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Kalama amesema kitu kinacholikwamisha kundi hilo ni management na kwamba kama ikipatikana litarejea tena.

gangwe-mobb

Luteni amesema kama wakipata management kundi hilo linaloundwa na yeye na Inspekta Haroun litasimama vizuri.

“Gangwe Mob kama Gangwe Mob itaendelea kuwepo sema kwa sasa hivi kila mtu anafanya project zake binafsi,” Kalama alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM jana.

“Ujue Gangwe Mob ni crew tunategemea labda tukipata meneja hivi ambaye anaweza...

 

11 years ago

GPL

ISABELA MPANDA, KALAMA WAZINGUANA KINOMANOMA

Stori: Gladness Mallya
WALE wapenzi wa muda mrefu, Luteni Kalama na Isabela Mpanda hivi karibuni walizinguana kinomanoma baada ya Kalama kwenda kumchomoa kwa nguvu mpenzi wake huyo akiwa bandari ya Dar es Salaam alikokuwa akifanya taratibu za kwenda Zanzibar kushuti filamu. Chanzo chetu kilichokuwa eneo la tukio kilisema: “Sisi tulishangaa kumuona Kalama anakuja akiwa amefura, alipomuona tu Isabela akamchukua kwa nguvu,...

 

10 years ago

GPL

LUTENI KARAMA ALIVYOMVISHA PETE YA UCHUMBA ISABELA MPANDA

Luteni Karama akijiandaa kumvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Isabela Mpanda. Karama akionyesha pete ya uchumba. Wapambe wakiwa…

 

11 years ago

GPL

MO MUSIC NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mo Music akiwa katika pozi. Mo Music akijibu swali katika mahojiano aliyofanya na Global TV Online.…

 

10 years ago

GPL

PAM D NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Host wa Global TV Online, Mourad Alfah (kushoto) akifanya mahojiano na Pam D katika kipindi cha Mtu Kati cha Global TV. Pamela Daffa 'Pam D' akiongea jambo.…

 

10 years ago

GPL

LA VEDA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO

Irene Neema Vedastous 'La Veda'. MTANZANIA aliyekuwa anashiriki shindano la Big Brother Hotshots, Irene Neema Vedastous 'La Veda', leo atakuwa ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd akifanya mahojiano ya Global TV Online kuanzia saa 5 asubuhi. Mshiriki huyo atakuwa na mambo mengi ya kuongea maana tangu atue Bongo hajafanya mahojiano sehemu nyingine yoyote. Hivyo wewe shabiki wa La Veda usikose kutembelea Ukurasa wetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani