LA VEDA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO
![](http://api.ning.com:80/files/lO1nR1WSZXvh4ugXrPXnqsR1BP0of3h84P9nSxsV30GtQro2-BffUilR0hRQ05MXQJo8KDSnFPw9TLZWiGPh3RfyiRB8rTcM/lavedabba.jpeg)
Irene Neema Vedastous 'La Veda'. MTANZANIA aliyekuwa anashiriki shindano la Big Brother Hotshots, Irene Neema Vedastous 'La Veda', leo atakuwa ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd akifanya mahojiano ya Global TV Online kuanzia saa 5 asubuhi. Mshiriki huyo atakuwa na mambo mengi ya kuongea maana tangu atue Bongo hajafanya mahojiano sehemu nyingine yoyote. Hivyo wewe shabiki wa La Veda usikose kutembelea Ukurasa wetu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLDUDE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO
10 years ago
GPLKINGWENDU ATIMBA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO
11 years ago
GPLMO MUSIC NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPLPAM D NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPLJHIKOMAN NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPLKALALA JUNIOR NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPLPROFESA JAY NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPLSHILOLE BABY NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPLDYNA NYANGE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE