Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KALALA JUNIOR NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Kalala Junior akipozi ndani ya Global TV Online. Kalala Junior akifanyiwa mahojiano na presenta, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. Mwanamuziki mahiri wa Muziki wa Dansi kutoka Twanga Pepeta, Kalala Junior leo ametinga katika ofisi za Global Publishers na kufanya mahojiano ya nguvu na Global TV Online. Mwanamuziki huyo amefunguka kuhusu sababu zilizomuondoa Mapacha Watatu, bifu lake na Queen… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

EXCLUSIVE SONG: MUNA - KALALA JUNIOR

Mwanamuziki Kalala Junior .

 

10 years ago

GPL

PAM D NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Host wa Global TV Online, Mourad Alfah (kushoto) akifanya mahojiano na Pam D katika kipindi cha Mtu Kati cha Global TV. Pamela Daffa 'Pam D' akiongea jambo.…

 

11 years ago

GPL

MO MUSIC NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mo Music akiwa katika pozi. Mo Music akijibu swali katika mahojiano aliyofanya na Global TV Online.…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi ndani ya studio za Global TV Online. Diamond akiweka vizuri kiatu chake kabla ya kuanza mahojiano na Global TV Online hivi punde.…

 

10 years ago

GPL

DUDE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO

Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa ndani ya studio za Global TV Online. Dude akisalimiana na Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist. Dude akiwa na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul.…

 

11 years ago

GPL

SHILOLE BABY NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Shilole akipozi ndani ya GLOBAL TV ONLINE usiku huu. Shilole akiwa tayari kufanya mahojiano na mtangazaji wa GLOBAL TV ONLINE, Luqman Maloto.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani