KINGWENDU ATIMBA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO
Kingwendu akila pozi matata ndani ya studio za Global TV Online leo. Kingwendu akiwa katika picha ya pamoja na Shabaan Mbegu, Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLGODZILLA ATIMBA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
 Godzilla 'King Zilla' akiwa katika pozi kwenye studio za Global TV Online kabla ya mahojiano leo. King Zilla akila pozi na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda Sifael Paul…
10 years ago
GPLDUDE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO
Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa ndani ya studio za Global TV Online. Dude akisalimiana na Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist. Dude akiwa na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lO1nR1WSZXvh4ugXrPXnqsR1BP0of3h84P9nSxsV30GtQro2-BffUilR0hRQ05MXQJo8KDSnFPw9TLZWiGPh3RfyiRB8rTcM/lavedabba.jpeg)
LA VEDA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO
Irene Neema Vedastous 'La Veda'. MTANZANIA aliyekuwa anashiriki shindano la Big Brother Hotshots, Irene Neema Vedastous 'La Veda', leo atakuwa ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd akifanya mahojiano ya Global TV Online kuanzia saa 5 asubuhi. Mshiriki huyo atakuwa na mambo mengi ya kuongea maana tangu atue Bongo hajafanya mahojiano sehemu nyingine yoyote. Hivyo wewe shabiki wa La Veda usikose kutembelea Ukurasa wetu...
10 years ago
GPLPAM D NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
Host wa Global TV Online, Mourad Alfah (kushoto) akifanya mahojiano na Pam D katika kipindi cha Mtu Kati cha Global TV. Pamela Daffa 'Pam D' akiongea jambo.…
11 years ago
GPLMO MUSIC NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mo Music akiwa katika pozi. Mo Music akijibu swali katika mahojiano aliyofanya na Global TV Online.…
10 years ago
GPLJHIKOMAN NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
Mwanamuziki wa Raggae, Jhikoman akicharaza gitaa lake ndani ya studio za Global TV Online. Jhikoman akiwa katika pozi na gitaa lake.…
11 years ago
GPLKALA JEREMIAH NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
Kalla Jeremiah akipozi ndani ya studio za Global TV Online kabla ya kufanyiwa mahojiano. Kalla akipozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global. Kutoka kushoto ni Erick Evarist, Gabriel Mongela…
10 years ago
GPL17 Mar
11 years ago
GPLSHILOLE BABY NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
Shilole akipozi ndani ya GLOBAL TV ONLINE usiku huu. Shilole akiwa tayari kufanya mahojiano na mtangazaji wa GLOBAL TV ONLINE, Luqman Maloto.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania