Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA JAY NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Profesa Jay akiwa katika pozi ndani ya Global TV tayari kwa mahojiano usiku huu. Profesa Jay akiwa na mtangazaji wa Global TV Online, Luqman Maloto (kulia). MKALI wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' muda huu yupo ndani ya Global TV tayari kwa mahojiano ya mambo mbalimbali ya muziki, maisha, siasa na mengineyo mengi. Mohojiano hayo… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTU KATI: PROFESA JAY AKIFUNGUKA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Mwana Hip hop, Profesa Jay akilonga na Global TV Online katika kipindi cha Mtu Kati. Prof J alifungukia mambo mbalimbali yakiwemo ya kimuziki, mahusiano, siasa na mengine mengi. Ungana na Host wako Luqman Maloto ndani ya Global TV Online!

 

10 years ago

GPL

PAM D NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Host wa Global TV Online, Mourad Alfah (kushoto) akifanya mahojiano na Pam D katika kipindi cha Mtu Kati cha Global TV. Pamela Daffa 'Pam D' akiongea jambo.…

 

11 years ago

GPL

MO MUSIC NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mo Music akiwa katika pozi. Mo Music akijibu swali katika mahojiano aliyofanya na Global TV Online.…

 

10 years ago

GPL

GODZILLA ATIMBA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

 Godzilla 'King Zilla' akiwa katika pozi kwenye studio za Global TV Online kabla ya mahojiano leo. King Zilla akila pozi na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda Sifael Paul…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani