Luteni Kalama kufunga ndoa na mchumba wake Bella
Msanii wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Kalama amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake Bella. Akizungumza na Friday Night Live hivi karibuni, Kalama alisema yeye na mpenzi wake Bella wapo kwenye maandalizi ya kufunga pingu za maisha. “Bella bado niko naye ni mchumba wangu na soon ndoa itafanyika. Tulikuwa hatufanyi kwaajili ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo502 Feb
Ndoa ya Barnaba na mchumba wake yanukia
10 years ago
Bongo524 Oct
Luteni Kalama kurejea baada ya kupata management
11 years ago
GPLLUTENI KALAMA, ISABELLA MPANDA NAO NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
9 years ago
Bongo511 Nov
Luteni Kalama adai Gangwe Mob itarudi ikipata management

Member wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Kalama amesema kitu kinacholikwamisha kundi hilo ni management na kwamba kama ikipatikana litarejea tena.
Luteni amesema kama wakipata management kundi hilo linaloundwa na yeye na Inspekta Haroun litasimama vizuri.
“Gangwe Mob kama Gangwe Mob itaendelea kuwepo sema kwa sasa hivi kila mtu anafanya project zake binafsi,” Kalama alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM jana.
“Ujue Gangwe Mob ni crew tunategemea labda tukipata meneja hivi ambaye anaweza...
11 years ago
GPL
ISABELA MPANDA NA LUTENI KALAMA KATIKA MTU KATI YA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL
BELLA AMFUMANIA KALAMA
10 years ago
GPL
BELLA: KILA NIKIBEBA MIMBA ZA KALAMA ZINATOKA
11 years ago
GPL
BELA, KALAMA NDOA YANUKIA
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Bella kufunga mwaka na Koffi, Dar Live
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’.
Na Mwandishi Wetu
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kufunga mwaka (Desemba 31) na wimbo alioufanya na mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide uitwao Acha Kabisa, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na mtandao huu, Bella anayetamba na Wimbo wa Nashindwa alisema usiku huo mashabiki watafunga mwaka kwa kuimba na kucheza ngoma zake zote kali kama...