Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndoa ya Barnaba na mchumba wake yanukia

Mchumba wa Barnaba, Zubeda amesema anafurahia maisha yake na mpenzi wake Barnaba na kwamba watafunga ndoa hivi karibuni. Zubeda ameiambia Bongo5 kuwa mipango ya ndoa imekamilika na kwamba wanasubiri kuamua tarehe tu. “Tayari ameshatoa pesa ya barua pamoja na mahari, kwahiyo bado tu kupanga tarehe ya ndoa,” amesema Mama Steve. “Barua alitoa toka mwaka jana […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Luteni Kalama kufunga ndoa na mchumba wake Bella

Msanii wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Kalama amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake Bella. Akizungumza na Friday Night Live hivi karibuni, Kalama alisema yeye na mpenzi wake Bella wapo kwenye maandalizi ya kufunga pingu za maisha. “Bella bado niko naye ni mchumba wangu na soon ndoa itafanyika. Tulikuwa hatufanyi kwaajili ya […]

 

11 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.

 

Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI NDOA YANUKIA

Na Musa Mateja/Ijumaa Wikienda
WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa zinanukia.… ...

 

11 years ago

GPL

BELA, KALAMA NDOA YANUKIA

Stori: Gladness Mallya STAA wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ na mpenzi wake wa kitambo, Karama Omari ‘Luten’ wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Isabela ambaye anatamba na wimbo wa Taratibu alisema ana furaha isiyo na kifani kwani kwa mara ya kwanza tangu aanze uhusiano wa kimapenzi na Karama...

 

10 years ago

GPL

JACK DUSTUN: NAISHI NA MCHUMBA KUJIANDAA NA NDOA


Na Imelda Mtema
MAMBO vipi mtu wangu wa nguvu, kama ilivyo ada, tunasonga mbele na tunazidi kukuletea vitu ambavyo roho yako inapenda, kazi yangu ni kutia miguu nyumbani kwa mastaa mbalimbali Bongo na kujua maisha yao halisi. Jacqueline Dustan. Leo tumetembelea maeneo ya Mbagala Chamazi katika nyumba anayoishi staa wa Shindano la Maisha Plus Season 2, Jacqueline Dustan ‘Jack’.  Kwenye nyumba hiyo anaishi...

 

10 years ago

Vijimambo

MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO

Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’.Na Hamida Hassan/IjumaaMtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kusema kuwa anashukuru amepata mchumba ila suala la ndoa siyo la leo wala kesho.Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Penny alisema wengi wamekuwa wakitaka kusikia suala la yeye kuolewa baada ya kubainika ana mchumba lakini mwenyewe anasema hajafikiria hilo la kuitwa...

 

10 years ago

GPL

PENNY: MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO

Na Hamida Hassan/Ijumaa
Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’,  Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kusema kuwa anashukuru amepata mchumba ila suala la ndoa siyo la leo wala kesho. Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’,  Penniel Mungilwa ‘Penny’. Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Penny alisema wengi...

 

10 years ago

GPL

HAMISA AMUANIKA MCHUMBA WAKE

MAHABA niue! Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii  huku akimmwagia sifa kemkem. Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto akila ujana na mpenzi wake. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili baada ya kuvutiwa waya, Hamisa alisema mwanaume huyo ni mtu ambaye anampenda sana na wana malengo ya kuoana muda wowote...

 

11 years ago

GPL

MISS TANZANIA AMWANIKA MCHUMBA WAKE!

Na Jelard Lucas
MISS Tanzania mwaka 2011, Salha Israel amevunja ukimya baada ya kumuweka wazi mwanaume anayetoka naye, jambo ambalo amejaribu kulifanya siri kwa muda mrefu. Miss Tanzania mwaka 2011, Salha Israel. Salha alifungua kinywa na kubainisha hayo, hivi karibuni alipokuwa kwenye mahojiano na
inayorushwa na mtandao namba moja wa burudani Bongo, www.globalpublishers.info ya Kampuni ya Global Publishers. Akijibu swali la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani