HAMISA AMUANIKA MCHUMBA WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz60wOdHktJfXSkuzXBfH05HwD00r2EmgW0cfhDaB-qG4k*7Qq3RCvXpTniubYXUA25ZG-raryETFqutBc9qRt*g5/hamisa.jpg)
MAHABA niue! Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii huku akimmwagia sifa kemkem. Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto akila ujana na mpenzi wake. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili baada ya kuvutiwa waya, Hamisa alisema mwanaume huyo ni mtu ambaye anampenda sana na wana malengo ya kuoana muda wowote...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo510 Dec
Hamisa Mobeto na mchumba wake Dj Majey wa E-FM wanatarajia kupata mtoto
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-tTOOH6EIp-k/UfsOZLenHTI/AAAAAAAAAU4/ZqwVm2mxpE8/s1600/Rayuu.jpg?width=750)
RAYUU AMUANIKA MWANDANI WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFzeCMzdC-qf*mNDdducD09rtZU0JGhV*an6clOCfLm4pdkMmPEb4EvxUI1K2ONarSDCWbAMDAgHN4AoxYgeiP1m/OSTAZJUMA.jpg)
OSTAZ JUMA AMUANIKA MKEWE NA MTOTO WAKE
10 years ago
Bongo Movies19 May
Wastara Amuanika Mbaya Wake, Kisa ni Kuolewa na Marehemu Sajuki
Baada ya kipindi kirefu cha tetesi ya staa wa filamu Wastara kuhofia maisha yake, akihisi upo mpango wa kumuangamiza kwa njia mbalimbali ikiwepo ajali, staa huyo amesema tetesi hizo ni kweli na amekwishazitolea ripoti polisi.
Msanii huyo amekiri kupitia eNewz kuwa, ni kweli yupo katika tishio la maisha yake, mhusika mkubwa wa hilo akiwa mwanaume ambaye alikuwa na mahusiano yake wa zamani ambaye hawana maelewano mazuri naye.Wastara amesema kuwa, amekuwa na historia ya mahusiano mabovu na mtu...
10 years ago
Bongo502 Feb
Ndoa ya Barnaba na mchumba wake yanukia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JneXU7BcIoBVL4k-YRIzag--OORopszfs-aIh6UueBHGSvzajSFynE1MX05Q74zeh*zp-5f5D7CjAovJRliOrid/miss.jpg?width=650)
MISS TANZANIA AMWANIKA MCHUMBA WAKE!
10 years ago
Vijimambo30 Dec
MBWEMBWE ZA KUMPOSA MCHUMBA WAKE ZAMTOKEA PUANI
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/14/141214081200_dutch_marriage_proposal_sees_crane_smash__624x351_epa_nocredit.jpg)
Mwanamume mmoja raia wa udachi amejikuta akikimbilia usalama wake baada ya jaribio la kutaka kumposa mpenzi wake kwa mbwembwe kwenda mrama.
Mtu huyo ambaye hakutajwa kwa jina anayeishi mjini Ijsselstein alikodisha 'kreni' au Crane na kuipanda akipanga kwamba kreni hilo imtoe chini na kumpanidhs hadi dirishani mwa mpenzi wake ambapo angemchezea wimbo na kisha kumposa.
Badala yake yaliyomkuta...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/5jUGfjGXSLA/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Amuua mchumba wake, afukia mwili porini
MKAZI wa Kijiji cha Kiroreli, wilayani Bunda, Wambura Magonze, ameuawa na mchumba wake na kisha mwili wake kufukiwa porini. Tukio hilo lilitokea Machi 22 mwaka huu, saa 3 asubuhi katika...