RAYUU AMUANIKA MWANDANI WAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-tTOOH6EIp-k/UfsOZLenHTI/AAAAAAAAAU4/ZqwVm2mxpE8/s1600/Rayuu.jpg?width=750)
Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. Stori: Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amezua gumzo baada ya picha zake zinazomuonesha akiwa chumbani na mwanaume kuenea mtandaoni, huku kijana huyo akionekana kujichora tatoo yenye jina la mwanadada huyo. Kijana huyo aliyefahamika kwa jina moja la Brown hakuweza kupatikana ili kuthibitisha uhusiano wake na mrembo huyo,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz60wOdHktJfXSkuzXBfH05HwD00r2EmgW0cfhDaB-qG4k*7Qq3RCvXpTniubYXUA25ZG-raryETFqutBc9qRt*g5/hamisa.jpg)
HAMISA AMUANIKA MCHUMBA WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFzeCMzdC-qf*mNDdducD09rtZU0JGhV*an6clOCfLm4pdkMmPEb4EvxUI1K2ONarSDCWbAMDAgHN4AoxYgeiP1m/OSTAZJUMA.jpg)
OSTAZ JUMA AMUANIKA MKEWE NA MTOTO WAKE
10 years ago
Bongo Movies19 May
Wastara Amuanika Mbaya Wake, Kisa ni Kuolewa na Marehemu Sajuki
Baada ya kipindi kirefu cha tetesi ya staa wa filamu Wastara kuhofia maisha yake, akihisi upo mpango wa kumuangamiza kwa njia mbalimbali ikiwepo ajali, staa huyo amesema tetesi hizo ni kweli na amekwishazitolea ripoti polisi.
Msanii huyo amekiri kupitia eNewz kuwa, ni kweli yupo katika tishio la maisha yake, mhusika mkubwa wa hilo akiwa mwanaume ambaye alikuwa na mahusiano yake wa zamani ambaye hawana maelewano mazuri naye.Wastara amesema kuwa, amekuwa na historia ya mahusiano mabovu na mtu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMOfINohYIfPGAxW-LfoNZP*LvfiAJ6puHqi2FVqR1qCnJH8kcuPuZN3MSoNNgnbwEs-ZSt0TX6TyhN0uhkDwmXC/kadinda.jpg?width=650)
KADINDA AMUANIKA MPENZI
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Kanye West amuanika mkewe mtandaoni
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiFs47CcJOG2*xSFFJtqIMltMh-3mct4b-aj7tyJvmXKJ8Q8qanOIIe8bXXG1Kp-oFzwQXkkl9c7A-rg4iXxKwI*/Esma.gif?width=650)
PETIT MAN AMUANIKA MRITHI WA ESMA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ccv79ba4KWA*ER0sh7i8Vuym9od4IvRwqFnwIhl9LbicG-fP13qG4uBkJG5yxX*G99P7lDaaaJIX3EztMLMHOYmEkWlaR60a/wajinga.jpg?width=650)
RAYUU,SKAINA WAFANYA UCHAFU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaEKB7oGheLiRCwNpxZLlhQPN93il-SMpBexSsNxoLisg2LEu-nCmzVrySw26LpYl0-9Tq*8diuwbHIVT1ounGUy/RAYUU.jpg?width=650)
RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Rayuu wa mitandaoni na nyumbani ni tofauti!
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MAKUBWA! Mrembo anayetikisa kiwanda cha filamu nchini, Rahma Rayuu ‘Rayuu’ amesema maisha yake halisi na maisha anayoonyesha kwenye mitandao ya kijamii ni tofauti hivyo watu wanaodhani ndivyo alivyo wanakosea.
Akichonga na Swaggaz, Rayuu alisema kuwa amezoea kuweka mitandaoni picha zinazoonyesha mwili wake lakini kiuhalisia ni mtu mwenye maadili ambaye akiwa nyumbani huvalia hadi ushungi kujisitiri.
“Kwetu ni familia ya dini na nimekuwa kwenye mazingira hayo, kule...