RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU
![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaEKB7oGheLiRCwNpxZLlhQPN93il-SMpBexSsNxoLisg2LEu-nCmzVrySw26LpYl0-9Tq*8diuwbHIVT1ounGUy/RAYUU.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata MSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu. Rahma Bagenzi ‘Rayuu’. Akipiga stori na paparazi wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia hatua ya kufikishwa polisi na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulnYj5s6SLVsR5A1CWWsKeHYWJgZZoeehd6h-jg6sQUrERBzTaNkII*YcOC6WT2WF0FsICmn98Rx02dGKexVUg13/4.jpg?width=650)
JACK: WAUME ZA WATU WATATUUA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdP4FBtynqQTMFgUKPGMzgiRJbTL-zPRvFVKb2MQ4HwkBFemX7ktSh9w9k77TP17XeGYhlIIp0sesFg2cutvlMnG/Tiko.jpg?width=650)
TIKO: WAUME ZA WATU SASA BASI!
9 years ago
Bongo Movies29 Nov
Wolper Ajitapa Kukwapua Waume za Watu
MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.
Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.
“Bibi eeeh acha waseme. Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siyo kuanza kuchongachonga tu kwa watu,” alisema...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HzbY9S4OGWu0vnF-NHjua2cfqlkXo8kWu51*reEgRGfaKxA86x2L*x-el2RKwfFfe9Cx1Yj826aJ9xLNim7psFpoYB2JzKUI/rosendauka.jpg)
ROSE NDAUKA AFUNGUKIA SKENDO YA KUPORA WAUME ZA WATU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbc2eplZ4Dd5Jdeo4YDIHRWnl-vvd3hB0*xDWJBGUICbnyni1Gdx3grZzAO3ntYTfroBVH*46B18yO9m0*Ou0m*u/44.jpg?width=650)
ESTER JAMANI MASTAA ACHENI KUIBA WAUME ZA WATU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZbGWnjJKvP9cqSLAeTmJnRRhK4-uGhhIGhDprc4T*zDRokRoO70DyasBA3E6ggV*OyGU2boDnJ3KD612q6UYGo2/snuraaaaa.jpg?width=650)
SNURA AELEZA KINACHO-WAPONZA WEZI WA WAUME ZA WATU
11 years ago
Habarileo22 Dec
Zitto akomalia demokrasia Chadema
MBUNGE wa jimbo la Kigoma Kaskazini mkoani Kigoma, Kabwe Zitto amesema kuwa ataendelea kupigania haki yake ya kidemokrasia na uwajibikaji ndani ya chama chake hadi dakika za mwisho.
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Lowassa akomalia kuunda Tume
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Liewig akomalia nyota Stand United