TIKO: WAUME ZA WATU SASA BASI!
![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdP4FBtynqQTMFgUKPGMzgiRJbTL-zPRvFVKb2MQ4HwkBFemX7ktSh9w9k77TP17XeGYhlIIp0sesFg2cutvlMnG/Tiko.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan amesema ameamua kuachana na tabia ya kuwa kimapenzi na waume za watu kwani ameona wanachosha na uhusiano huo hauna uhuru tofauti na ule wa aliye singo. Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Akipiga stori na paparazi wetu, Tiko alisema ameamua kuachana na uhusiano wa kimapenzi na waume za watu kwani alikuwa na mume wa mtu lakini hakuona faida yoyote zaidi ya kukosa uhuru...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-u2hy6w9lB8k/U9aDAFFcSeI/AAAAAAAAGE0/CBMujcPWw-E/s72-c/10576046_814022105288113_158358201_n.jpg)
KAMA UREMBO NIKUOLEWA BASI HAWA WASHINDWE WENYEWE KUPATA WAUME KWANI NI WAREMBO HASWA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-u2hy6w9lB8k/U9aDAFFcSeI/AAAAAAAAGE0/CBMujcPWw-E/s640/10576046_814022105288113_158358201_n.jpg)
Pitia picha za warembo hawa watatu na utakubari kuwa wanaurembo na kama wanatulia na kuolewa basi mume hawezi kuchelewa kurudi nyumbani.
![](http://2.bp.blogspot.com/-niAwFka0RTs/VDSy0Q72WlI/AAAAAAAAp18/B8K-5azcItE/s1600/IMG_0699.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-6RC8TUDBUpI/VDKo-uCfXlI/AAAAAAAAWIA/NDZIe3pgJYs/s640/LUUUU.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaEKB7oGheLiRCwNpxZLlhQPN93il-SMpBexSsNxoLisg2LEu-nCmzVrySw26LpYl0-9Tq*8diuwbHIVT1ounGUy/RAYUU.jpg?width=650)
RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulnYj5s6SLVsR5A1CWWsKeHYWJgZZoeehd6h-jg6sQUrERBzTaNkII*YcOC6WT2WF0FsICmn98Rx02dGKexVUg13/4.jpg?width=650)
JACK: WAUME ZA WATU WATATUUA
9 years ago
Bongo Movies29 Nov
Wolper Ajitapa Kukwapua Waume za Watu
MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.
Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.
“Bibi eeeh acha waseme. Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siyo kuanza kuchongachonga tu kwa watu,” alisema...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HzbY9S4OGWu0vnF-NHjua2cfqlkXo8kWu51*reEgRGfaKxA86x2L*x-el2RKwfFfe9Cx1Yj826aJ9xLNim7psFpoYB2JzKUI/rosendauka.jpg)
ROSE NDAUKA AFUNGUKIA SKENDO YA KUPORA WAUME ZA WATU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbc2eplZ4Dd5Jdeo4YDIHRWnl-vvd3hB0*xDWJBGUICbnyni1Gdx3grZzAO3ntYTfroBVH*46B18yO9m0*Ou0m*u/44.jpg?width=650)
ESTER JAMANI MASTAA ACHENI KUIBA WAUME ZA WATU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZbGWnjJKvP9cqSLAeTmJnRRhK4-uGhhIGhDprc4T*zDRokRoO70DyasBA3E6ggV*OyGU2boDnJ3KD612q6UYGo2/snuraaaaa.jpg?width=650)
SNURA AELEZA KINACHO-WAPONZA WEZI WA WAUME ZA WATU
10 years ago
Mwananchi17 Mar
‘Uharibifu wa barabara sasa basi’
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Aboutrika soka basi sasa!