ESTER JAMANI MASTAA ACHENI KUIBA WAUME ZA WATU!
![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbc2eplZ4Dd5Jdeo4YDIHRWnl-vvd3hB0*xDWJBGUICbnyni1Gdx3grZzAO3ntYTfroBVH*46B18yO9m0*Ou0m*u/44.jpg?width=650)
Gladness Mallya Funguka! Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake katika kiwanda cha filamu Bongo, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzuri. Ester Kiama. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Ester alifunguka kuwa mastaa wanaochukua waume za watu, tabia zao siyo nzuri na kibaya zaidi wakishawachukua wanajigamba ili watu wawaone wako juu mjini wakati hawana lolote....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulnYj5s6SLVsR5A1CWWsKeHYWJgZZoeehd6h-jg6sQUrERBzTaNkII*YcOC6WT2WF0FsICmn98Rx02dGKexVUg13/4.jpg?width=650)
JACK: WAUME ZA WATU WATATUUA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaEKB7oGheLiRCwNpxZLlhQPN93il-SMpBexSsNxoLisg2LEu-nCmzVrySw26LpYl0-9Tq*8diuwbHIVT1ounGUy/RAYUU.jpg?width=650)
RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdP4FBtynqQTMFgUKPGMzgiRJbTL-zPRvFVKb2MQ4HwkBFemX7ktSh9w9k77TP17XeGYhlIIp0sesFg2cutvlMnG/Tiko.jpg?width=650)
TIKO: WAUME ZA WATU SASA BASI!
9 years ago
Bongo Movies29 Nov
Wolper Ajitapa Kukwapua Waume za Watu
MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.
Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.
“Bibi eeeh acha waseme. Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siyo kuanza kuchongachonga tu kwa watu,” alisema...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZbGWnjJKvP9cqSLAeTmJnRRhK4-uGhhIGhDprc4T*zDRokRoO70DyasBA3E6ggV*OyGU2boDnJ3KD612q6UYGo2/snuraaaaa.jpg?width=650)
SNURA AELEZA KINACHO-WAPONZA WEZI WA WAUME ZA WATU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HzbY9S4OGWu0vnF-NHjua2cfqlkXo8kWu51*reEgRGfaKxA86x2L*x-el2RKwfFfe9Cx1Yj826aJ9xLNim7psFpoYB2JzKUI/rosendauka.jpg)
ROSE NDAUKA AFUNGUKIA SKENDO YA KUPORA WAUME ZA WATU!
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
10 years ago
Bongo Movies18 May
Nisha: Acheni Kuazima vya Watu
Staa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’, amewataka mashabiki wake wenye tabia ya kuazima vitu kwa marafiki zao waache kwa kuwa vinaweza kuwaletea madhara makubwa.
Licha ya somo hilo kulitoa katika filamu yake ya ‘Mtaa kwa Mtaa’, pia ameweka wazi kwamba kuazima nguo ama vitu vingine kunaweza kumkosesha amani ama heshima mwazimaji jambo ambalo litampotezea muda wa kufanya maendeleo.
“Hilo ni moja ya somo kwenye filamu yangu hiyo, naamini wapo watakaojifunza kulingana na hilo, nimeuvaa...
10 years ago
Mtanzania18 May
Nisha: Mashabiki acheni kuazima vya watu
NA MWALI IBRAHIM
MSANII wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’, amewataka mashabiki wake wenye tabia ya kuazima vitu kwa marafiki zao waache kwa kuwa vinaweza kuwaletea madhara makubwa.
Licha ya somo hilo kulitoa katika filamu yake ya ‘Mtaa kwa Mtaa’, pia ameweka wazi kwamba kuazima nguo ama vitu vingine kunaweza kumkosesha amani ama heshima mwazimaji jambo ambalo litampotezea muda wa kufanya maendeleo.
“Hilo ni moja ya somo kwenye filamu yangu hiyo, naamini wapo watakaojifunza kulingana na...