Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nisha: Mashabiki acheni kuazima vya watu

nishaaaNA MWALI IBRAHIM
MSANII wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’, amewataka mashabiki wake wenye tabia ya kuazima vitu kwa marafiki zao waache kwa kuwa vinaweza kuwaletea madhara makubwa.
Licha ya somo hilo kulitoa katika filamu yake ya ‘Mtaa kwa Mtaa’, pia ameweka wazi kwamba kuazima nguo ama vitu vingine kunaweza kumkosesha amani ama heshima mwazimaji jambo ambalo litampotezea muda wa kufanya maendeleo.
“Hilo ni moja ya somo kwenye filamu yangu hiyo, naamini wapo watakaojifunza kulingana na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Nisha: Acheni Kuazima vya Watu

Staa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’, amewataka mashabiki wake wenye tabia ya kuazima vitu kwa marafiki zao waache kwa kuwa vinaweza kuwaletea madhara makubwa.


Licha ya somo hilo kulitoa katika filamu yake ya ‘Mtaa kwa Mtaa’, pia ameweka wazi kwamba kuazima nguo ama vitu vingine kunaweza kumkosesha amani ama heshima mwazimaji jambo ambalo litampotezea muda wa kufanya maendeleo.


“Hilo ni moja ya somo kwenye filamu yangu hiyo, naamini wapo watakaojifunza kulingana na hilo, nimeuvaa...

 

10 years ago

Mtanzania

Nisha kuwapa elimu ya maisha mashabiki

nishaNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’, amesema anatarajia kuachia kazi yake mpya aliyoipa jina la ‘Shida’, ambayo itatoa mafunzo kwa mashabiki kukabiliana na hali yoyote ya maisha.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Nisha alisema filamu hiyo inatarajia kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu, ambapo ameweza kumshirikisha nguli mwingine, Gabo.
“Mashabiki wakae tayari kwa ujio wangu mpya naamini watajifunza vitu vingi vinavyohusu maisha yetu ya Kitanzania...

 

11 years ago

GPL

NISHA: MH! ETI NINA MIMBA, WATU BWANA

Stori: Gladness Mallya MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amepangua madai kuwa ni mjamzito na kudai ni maneno ya ya watu licha ya kwamba ukikiangalia kwa makini kitumbo chake unaweza kuhisi kuna kitu ndani. Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ Akizungumzia madai hayo na kwamba ndicho kinachomfanya asijichanganye na wenzake kama kawaida, Nisha alisema...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Polisi acheni kupiga watu mabomu

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ameeleza kusikitishwa na kitendo cha polisi kuwapiga mabomu wananchi wa Tanga waliokuwa wakitoka kwenye mkutano wake.

 

10 years ago

GPL

ESTER JAMANI MASTAA ACHENI KUIBA WAUME ZA WATU!

Gladness Mallya Funguka! Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake katika kiwanda cha filamu Bongo, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzuri. Ester Kiama. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Ester alifunguka kuwa mastaa wanaochukua waume za watu, tabia zao siyo nzuri na kibaya zaidi wakishawachukua wanajigamba ili watu wawaone wako juu mjini wakati hawana lolote....

 

11 years ago

Habarileo

'Vijana acheni utumwa wa vyama vya siasa'

VIJANA nchini wametakiwa kuachana na utumwa wa majina ya vyama vya siasa nakuanza kutafakari mustakabali wa Taifa. Aidha vijana na wazee kwa maslahi ya taifa wanatakiwa kuachana na siasa ya majitaka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sekeseke la Panya Road: Jionee Vituko vya Mzee Majuto na Nisha

Kama mnavyojua, siku ya jana hapa jijini Dar es salaam kulikuwa na taharuki kubwa  ikiwahusisha baadhi ya vijana wanaojikusanya kwenye vikundi na kujiita Panya road  ambao huzunguka mitaani kufaya vurugu na kupora watu na huvyo kusababisha hofu kubwa kwa wakazi wa jijini hapa.

Hivi ni vituko vya waigizaji Mzee Majuto na  Nisha kwa nyakati tofauti, Mzee Majuto akiwa nje ya jiji la Dar, akionekana  “anagonga”  mchemsho wa samaki huku anaongea na simu, JB alimuwekea maneno haya kwenye picha...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wachunguza vifo vya utata vya watu 4 Bukoba

JESHI la Polisi mkoani Kagera linachunguza tukio la vifo vya watu wanne waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, kilometa 10 kutoka Bukoba Mjini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani