SNURA AELEZA KINACHO-WAPONZA WEZI WA WAUME ZA WATU
![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZbGWnjJKvP9cqSLAeTmJnRRhK4-uGhhIGhDprc4T*zDRokRoO70DyasBA3E6ggV*OyGU2boDnJ3KD612q6UYGo2/snuraaaaa.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya MAMAA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa kinachowaponza wanawake wengi wanaoiba wanaume za watu ni kupenda kujitangaza. Akizungumza kupitia Global Online TV (itaruka leo mtandaoni), Snura alisema kwa kulitambua hilo ndiyo maana aliwatonya kuwa ukiiba mume wa mtu fanya siri katika wimbo wa Nimevurugwa. “We ni mwizi halafu unatangaza kila sehemu unatafuta nini kama siyo matatizo na mwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Msuya aeleza wezi walivyomwibia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulnYj5s6SLVsR5A1CWWsKeHYWJgZZoeehd6h-jg6sQUrERBzTaNkII*YcOC6WT2WF0FsICmn98Rx02dGKexVUg13/4.jpg?width=650)
JACK: WAUME ZA WATU WATATUUA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaEKB7oGheLiRCwNpxZLlhQPN93il-SMpBexSsNxoLisg2LEu-nCmzVrySw26LpYl0-9Tq*8diuwbHIVT1ounGUy/RAYUU.jpg?width=650)
RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU
9 years ago
Bongo Movies29 Nov
Wolper Ajitapa Kukwapua Waume za Watu
MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.
Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.
“Bibi eeeh acha waseme. Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siyo kuanza kuchongachonga tu kwa watu,” alisema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdP4FBtynqQTMFgUKPGMzgiRJbTL-zPRvFVKb2MQ4HwkBFemX7ktSh9w9k77TP17XeGYhlIIp0sesFg2cutvlMnG/Tiko.jpg?width=650)
TIKO: WAUME ZA WATU SASA BASI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HzbY9S4OGWu0vnF-NHjua2cfqlkXo8kWu51*reEgRGfaKxA86x2L*x-el2RKwfFfe9Cx1Yj826aJ9xLNim7psFpoYB2JzKUI/rosendauka.jpg)
ROSE NDAUKA AFUNGUKIA SKENDO YA KUPORA WAUME ZA WATU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbc2eplZ4Dd5Jdeo4YDIHRWnl-vvd3hB0*xDWJBGUICbnyni1Gdx3grZzAO3ntYTfroBVH*46B18yO9m0*Ou0m*u/44.jpg?width=650)
ESTER JAMANI MASTAA ACHENI KUIBA WAUME ZA WATU!
11 years ago
Mwananchi18 May
Kutowalipa mishahara watu kunazalisha wezi
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Wezi wa mifugo wawaua watu 79 Nigeria