Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kutowalipa mishahara watu kunazalisha wezi

Mtu anaponyanyuka kutoka nyumbani kwake kwenda kutafuta kuajiriwa anakuwa na malengo yake. Tukianza na yale ya msingi kabisa ni kwamba mtu anataka ajipatie chakula, mavazi na malazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wezi wa mifugo wawaua watu 79 Nigeria

Wezi wa mifugo, kutoka jamii ya Wafulani nchini Nigeria wamewaua watu 79 katika kijiji kimoja atika jimbo la Zamfara

 

11 years ago

GPL

SNURA AELEZA KINACHO-WAPONZA WEZI WA WAUME ZA WATU

Stori: Gladness Mallya MAMAA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa kinachowaponza wanawake wengi wanaoiba wanaume za watu ni kupenda kujitangaza. Akizungumza kupitia Global Online TV (itaruka leo mtandaoni), Snura alisema kwa kulitambua hilo ndiyo maana aliwatonya kuwa ukiiba mume wa mtu fanya siri katika wimbo wa Nimevurugwa.
“We ni mwizi halafu unatangaza kila sehemu unatafuta nini kama siyo matatizo na mwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Kodi ya mishahara yapungua kiduchu, mishahara juu

>Kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi nchini kutaka Kodi ya Mshahara (Paye), ipunguzwe hadi chini ya asilimia 10 kimekwama baada ya Serikali kupunguza kodi hiyo kwa asilimia moja.

 

10 years ago

Mwananchi

Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”

Kuna usemi wa wahenga usemao “mchawi mpe mwana alee”. Usemi huu una maana kwamba ili umbane na mtu unayehisi ni adui yako, kuwa naye karibu.

 

11 years ago

Dewji Blog

WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma

DSC07688

Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.

Na.Nathaniel Limu-Singida

WAZIRI  wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI HAIJATOA TAMKO LA KUTOWALIPA MAKOCHA WA TAIFA STARS


Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inakanusha taarifa zilizoandikwa katika gazeti la Mwananchi la tarehe 24.12.2015 yenye kichwa cha habari “JPM kutolipa makocha Stars”.


Serikali  kupitia Wizara inayohusika na michezo haijatoa tamko  la kutowalipa makocha wanaofundisha timu ya Taifa Stars kama ilivyoripotiwa na gazeti hilo.


Suala la malipo ya makocha wa Taifa Stars linashughulikiwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za Serikali, pindi maamuzi yatapofikiwa, serikali itatoa maelekezo...

 

11 years ago

Habarileo

Mishahara kupanda

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiimba wimbo wa mshikamano pamoja viongozi wa Serikali na Chama cha Wafanyakazi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Utumishi, Hawa Ghasia, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, Naibu Rais TUCTA, Notburga Masikini na Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicolaus Mgaya. (Picha na Mroki Mroki).RAIS Jakaya Kikwete, amewaahidi wafanyakazi nchini kuwa katika mwaka ujao wa fedha ambao Mpango wa Bajeti umeonesha kuwa itakuwa ya Sh trilioni 19.7, Serikali itapandisha mishahara ya wafanyakazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mishahara Mbeya City

Baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Bara huku Mbeya City ikionyesha ushindani wa hali ya juu kwa timu kongwe kwenye ligi hiyo, wamiliki wa timu hiyo ambao ni Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamewatangazia donge nono  la mshahara kwa wachezaji na benchi la ufundi katika msimu ujao wa ligi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF wakosa mishahara

Imefichuka! Maofisa wa ngazi za juu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) hawajalipwa mishahara yao ukiwamo wa Mei, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani