Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma

DSC07688

Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.

Na.Nathaniel Limu-Singida

WAZIRI  wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAKALA AWATAKA WANANCHI KUWAFICHUA WEZI WA MAJI

Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makala amewataka wananchi wa Mkoa wa Arusha kuendelea kuwafichua wale wote wanaoshiriki katika wizi wa maji ili waweze kuchukuliwa hatua kali za kisheria.Alitoa wito huo jana wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi jijini hapa kwa lengo la kutembelea miradi ya maji iliyokuwa na changamoto kubwa ya upotevu wa maji inayosababishwa na uchakavu wa miundombinu na wizi wa maji
Waziri Makala alisema kuwa serikali inafanya jitihada ya kuboresha huduma ya maji...

 

10 years ago

Mwananchi

Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”

Kuna usemi wa wahenga usemao “mchawi mpe mwana alee”. Usemi huu una maana kwamba ili umbane na mtu unayehisi ni adui yako, kuwa naye karibu.

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI, MAKALLA AWANASA WEZI WA MAJI DAR NA KUTANGAZA KUFILISI MALI ZAO.


Meneja Mkuu wa Kampuni ya ufyatuaji matofali ya Ujenzi Solutions, ya Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, Rahim Hamis na mfanyabiashara wa kampuni isiyo na jina, Credo Rajab (kulia) wakiwa chini ya uliznzi wa Polisi huku wakiwa wamevishwa pingu baada Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla kuamuru kuwakamata alipokagua viwanda vyao vya ufyatuaji na kugundulika kuwa wanatumia maji isivyo halali kwa kujiunganishia kwenye bomba kuu la Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dar  ws Salaam (DAWASA). ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sendeka: Muhongo, Maswi wezi

WABUNGE jana waligeuza Ukumbi wa Bunge sehemu ya mnyukano baada ya baadhi yao kushambuliana, huku wakituhumiana kwa wizi na wamehongwa na uongozi wa Kampuni ya kufua umeme wa dharura ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Prof Muhongo asema fedha za Escrow si mali ya umma, adai bado Serikali inadaiwa

Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow linaendelea kuchukua sura mpya baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo kutoa ufafanuzi wa Serikali bungeni mjini Dodoma kuwa fedha hizo si za umma na kwamba bado Serikali ina mzigo wa madeni katika sakata hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahakama yaamuru wananchi kulipwa fidia

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imeiamuru Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuwalipa fidia wananchi 43 wanaoishi kandokando ya barabara ya Mianzini hadi Timolo, ili wapishe upanuzi wa barabara hiyo yenye...

 

11 years ago

GPL

KAULI KUHUSU UONGO WA WAZIRI PROFESA MUHONGO

Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika (Mb). Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa kauli za uongo kwa nyakati mbalimbali mwaka 2012 na 2013 ndani na nje ya Bunge kuhusu utafiti na uendelezaji wa gesi asilia. Waziri Muhongo alijibu uongo kwamba hafanyi kazi kwa vyombo vya habari nilipohoji kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge ya kuanzia Novemba 2011 ya kushughulikia ufisadi uliothibitika katika...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU AONYA WANAOPOTOSHA NA WANAOTOA KIHOLELA TAARIFA ZA CORONA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa , Makatibu Tawala wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video akiwa ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Machi 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)







DODOMA, Tanzania
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya juu ya baadhi ya Watu wanapotosha na wanaotoa kiholela taarifa kuhusu ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona hapa nchini.
Amesema kuanzia sasa taarifa hizo zitatolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA- UREJESHAJI FOMU ZA TAMKO LA MALI NA MADENI

Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inawataarifu Viongozi wote wa Umma nchini kwamba tarehe ya mwisho ya kurejesha Fomu za kutolea TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI ya viongozi kwa Kamishna wa Maadili kwa mwaka huu ni tarehe 31/12/2014. Fomu hizo za kutolea tamko zimeanza kutolewa na zinapatikana katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma makao makuu Dar es Salaam na katika ofisi za Kanda za Mashariki Kibaha, Arusha, Dodoma, Tabora, Mwanza, Mbeya na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani