Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAJETI 2014/2015: Kodi ya mishahara yapungua kiduchu, mishahara juu

>Kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi nchini kutaka Kodi ya Mshahara (Paye), ipunguzwe hadi chini ya asilimia 10 kimekwama baada ya Serikali kupunguza kodi hiyo kwa asilimia moja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kodi ya mishahara yashuka

mkuyaNa Waandishi wetu, Dodoma/Dar

WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum, amesema Serikali imeendelea na uboreshaji wa masilahi ya wafanyakazi ambapo kwa mwaka huu wa fedha imepunguza tozo la kodi ya mapato ya ajira kutoka asilimia 12 ya sasa hadi asilimia 11.

Akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 mjini Dodoma jana, Waziri Saada alisema hali hiyo inakwenda na dhamira ya Serikali kuwapunguzia mzigo wa kodi wafanyakazi.

Alisema mshahara wa kima cha chini umeongezeka kutoka Sh 65,000 mwaka...

 

11 years ago

Habarileo

Kodi ya mishahara kupungua

SERIKALI imepunguza kiwango cha chini cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE) hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Mishahara itapanda na itapunguzwa kodi

Rais Jakaya Kikwete ametoa ahadi mbili za kuwafurahisha wafanyakazi. Kwanza ametangaza nia ya kuongeza mishahara yao na pili, kupunguza kodi inayokatwa kwenye mishahara hiyo mambo ambayo ameahidi kutekelezwa katika Bajeti ya mwaka 2014/2015 inayotarajiwa kuwasilishwa bungeni hivi karibuni.

 

10 years ago

Habarileo

Kodi katika mishahara ya watumishi kupunguzwa

SERIKALI imesikia kilio cha watumishi wa umma, baada ya kuahidi kupunguza viwango vya makato ya kodi katika mishahara ya watumishi hao kutoka asilimia 12 za sasa hadi kiwango kinachofikia tarakimu moja.

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti SMZ kodi juu

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) jana iliwasilisha bajeti yake ya Sh708.8 bilioni kwa mwaka 2014/2015 ambazo ni pungufu mara 28 ya Bajeti ya Jamhuri ya Muungano ya Sh19.7 trilioni inayotarajiwa kuwasilishwa mwishoni mwa Juni mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

11 years ago

Habarileo

Mishahara kupanda

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiimba wimbo wa mshikamano pamoja viongozi wa Serikali na Chama cha Wafanyakazi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Utumishi, Hawa Ghasia, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, Naibu Rais TUCTA, Notburga Masikini na Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicolaus Mgaya. (Picha na Mroki Mroki).RAIS Jakaya Kikwete, amewaahidi wafanyakazi nchini kuwa katika mwaka ujao wa fedha ambao Mpango wa Bajeti umeonesha kuwa itakuwa ya Sh trilioni 19.7, Serikali itapandisha mishahara ya wafanyakazi.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF wakosa mishahara

Imefichuka! Maofisa wa ngazi za juu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) hawajalipwa mishahara yao ukiwamo wa Mei, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani