Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bajeti SMZ kodi juu

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) jana iliwasilisha bajeti yake ya Sh708.8 bilioni kwa mwaka 2014/2015 ambazo ni pungufu mara 28 ya Bajeti ya Jamhuri ya Muungano ya Sh19.7 trilioni inayotarajiwa kuwasilishwa mwishoni mwa Juni mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Kodi ya mishahara yapungua kiduchu, mishahara juu

>Kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi nchini kutaka Kodi ya Mshahara (Paye), ipunguzwe hadi chini ya asilimia 10 kimekwama baada ya Serikali kupunguza kodi hiyo kwa asilimia moja.

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yatakiwa kutenga bajeti ya malaria

NCHI washiriki wa maendeleo na mashirika ya Kimataifa wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kuchangia katika mapambano dhidi ya malaria kwa kutenga bajeti ya fedha kwa mwaka na kuhakikisha ugonjwa huo unatokomezwa moja kwa moja.

 

10 years ago

Habarileo

Kodi ya petroli, dizeli juu

Mauzo ya mafuta kabla ya bajeti ya mwaka huu. Kwa mujibu wa bajeti ya mwaka huu mafuta ya taa ndio yatakuwa ghali zaidi kuliko yote.SERIKALI imetangaza kuongeza tozo ya mafuta ya petroli na dizeli ili fedha zitakazopatikana, zikatunishe mfuko wa kusambaza nishati vijijini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni zisizolipa kodi zajiwa juu

WAZIRI wa  Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ameendelea kuzing’ang’ania kampuni zisizolipa kodi ambapo amewataka Watanzania waondokane na dhana kwamba wageni pekee ndio hawalipi kodi bali wapo hata wazawa wanaokwepa. Muhongo...

 

9 years ago

Michuzi

UFAFANUZI JUU YA UKAGUZI WA MATUMIZI YA MISAMAHA YA KODI


ISO 9001:2008 CERTIFIEDTAARIFA KWA UMMAKumekuwa na upotoshwaji kuhusu zoezi la ufuatiliaji wa matumizi ya misamaha ya kodi inayosimamiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa wafanyabiashara, wawekezaji, Taasisi za Dini na Taasisi zisizo za kiserikali kwa maelezo kwamba TRA inazilenga baadhi ya Taasisi.
Sheria ya Mamlaka ya Mapato Tanzania inaipa Mamlaka ya kusimamia, kukagua na kuhakiki mapato ya Serikali pamoja na kuzuia ukwepaji wa kodi wa aina yoyote ile ikiwemo matumizi mabaya ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA BAJETI YA AFYA, KASMA YA UZAZI WA MPANGO

 Tamko hili linatokana na shughuli zinazoendelea za shirika hili za ushawishi na utetezi kuitaka serikali iongeze kiwango cha fedha kinachoelekezwa katika kasma ya uzazi wa mpango, chini ya bajeti ya afya.

Pamoja na tamko hili, UNA Tanzania iliendesha mafunzo na mjadala wa siku moja na waheshimiwa wabunge siku ya Jumapili, tarehe 31 Mei 2015, Dodoma. Wajumbe katika mjadala huo walitoka katika Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, pamoja na Klabu ya Wabunge ya Uzazi wa Mpango. Katika mjadala...

 

10 years ago

Michuzi

TRA YAWAPIGA MSASA CTI JUU YA SHERIA MPYA YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI YA MWAKA 2014

 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade akiongea na wadau kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) wakati wa semina ya kuwajengea uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1, 2015, Leo Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) Dkt. Samuel Nyantahe akimshukuru Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade kwa uamuzi wa kuwakutanisha wadau wa sekta ya...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani