UFAFANUZI JUU YA UKAGUZI WA MATUMIZI YA MISAMAHA YA KODI
![](http://1.bp.blogspot.com/-8HHe3u_oFnw/Vo0RLo-zw8I/AAAAAAAIQ1U/OiOojRGqrxg/s72-c/New%2BPicture.png)
ISO 9001:2008 CERTIFIEDTAARIFA KWA UMMAKumekuwa na upotoshwaji kuhusu zoezi la ufuatiliaji wa matumizi ya misamaha ya kodi inayosimamiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa wafanyabiashara, wawekezaji, Taasisi za Dini na Taasisi zisizo za kiserikali kwa maelezo kwamba TRA inazilenga baadhi ya Taasisi.
Sheria ya Mamlaka ya Mapato Tanzania inaipa Mamlaka ya kusimamia, kukagua na kuhakiki mapato ya Serikali pamoja na kuzuia ukwepaji wa kodi wa aina yoyote ile ikiwemo matumizi mabaya ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Jan
‘Misamaha ya kodi ni hasara’
11 years ago
Habarileo28 Jun
Misamaha ya kodi yapigwa kalenda
KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imekataa kubariki Muswada wa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na Muswada wa Sheria ya Utawala wa Kodi, ambayo ilikuwa iwasilishwe bungeni Jumatatu ijayo na kujadiliwa, ili misamaha ya kodi isiyo na tija ifutwe.
10 years ago
Mwananchi22 Nov
TRA yalia na misamaha ya kodi
10 years ago
Habarileo20 Jan
Misamaha ya kodi yachefua wabunge
KAMATI ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Serikali kufanya kila linalowezekana inapunguza misamaha ya kodi ambayo katika mwaka wa fedha 2013/14 ilipaa kwa Sh bilioni 340 kutoka Sh trilioni 1.48 hadi Sh trilioni 1.82 mwaka uliopita.
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Magufuli: Nitaondoa misamaha ya kodi
10 years ago
Habarileo04 Dec
Washinikiza misamaha ya kodi ifutwe
WADAU wa asasi kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wameishauri serikali kufuta misamaha ya kodi ili fedha zitakazokusanywa ziweze kutumika kuboresha na kuimarisha huduma za kijamii ikiwemo elimu, afya na kilimo.
11 years ago
Mwananchi11 Jul
Misamaha, ukwepaji kodi unavyotesa Watanzania
10 years ago
Habarileo22 Jan
Zitto akiri JK amefuta misamaha ya kodi
KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC), imekiri kuwa hadi sasa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ipo, lakini pamoja na kusainiwa na Rais bado haijaanza kutekelezwa jambo linalosababisha misamaha ya kodi izidi kupaa.
11 years ago
Habarileo01 Jul
'Tunaunga mkono upunguzaji misamaha ya kodi'
TAASISI ya Sekta Binafsi (TPSF) inaunga mkono hatua ya Serikali ya kupunguza misamaha ya kodi, lakini imetaka utekelezaji wake kuwa makini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na TPSF, hatua ya kupunguza misamaha ya kodi ni nzuri, lakini utekelezaji wake unatakiwa kufanywa kwa umakini ili isije kuzuia ukuaji katika sekta.