Misamaha, ukwepaji kodi unavyotesa Watanzania
Inashangaza kuona taifa lina watu wengi maskini, Serikali inasamehe wawekezaji mabilioni kila mwaka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Jan
Kamishna Mkuu TRA ‘alia’ na misamaha, ukwepaji kodi
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inaweza kukusanya kiasi cha Sh trilioni tano kwa mwaka kutoka kiasi cha Sh trilioni 3.9 za sasa kwa mwaka, endapo misamaha ya kodi na ukwepaji wa kodi utadhibitiwa.
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Kikwete: Sihusiki na ukwepaji kodi
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Maji Marefu afunguka ukwepaji kodi
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani (CCM), amesema hajawahi kukwepa kodi na wala hatarajii kufanya hivyo kwa kuwa anajua umuhimu wake.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ngonyani ambaye ni maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu, alisema yeyote anayemtuhumu kuwa ni mkwepa kodi, anataka kumchonganisha na Serikali katika kipindi hiki ambacho Rais Dk. John Magufuli anahimiza wananchi kulipa kodi.
Profesa Maji Marefu alitoa...
10 years ago
Mwananchi20 Jan
‘Misamaha ya kodi ni hasara’
10 years ago
GPL
UKWEPAJI KODI KUMUONDOA MESSI BARCELONA AU KUMPELEKA JELA
10 years ago
Habarileo04 Dec
Washinikiza misamaha ya kodi ifutwe
WADAU wa asasi kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wameishauri serikali kufuta misamaha ya kodi ili fedha zitakazokusanywa ziweze kutumika kuboresha na kuimarisha huduma za kijamii ikiwemo elimu, afya na kilimo.
10 years ago
Mwananchi10 Sep
Magufuli: Nitaondoa misamaha ya kodi
11 years ago
Habarileo28 Jun
Misamaha ya kodi yapigwa kalenda
KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imekataa kubariki Muswada wa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na Muswada wa Sheria ya Utawala wa Kodi, ambayo ilikuwa iwasilishwe bungeni Jumatatu ijayo na kujadiliwa, ili misamaha ya kodi isiyo na tija ifutwe.
10 years ago
Habarileo20 Jan
Misamaha ya kodi yachefua wabunge
KAMATI ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Serikali kufanya kila linalowezekana inapunguza misamaha ya kodi ambayo katika mwaka wa fedha 2013/14 ilipaa kwa Sh bilioni 340 kutoka Sh trilioni 1.48 hadi Sh trilioni 1.82 mwaka uliopita.