Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKWEPAJI KODI KUMUONDOA MESSI BARCELONA AU KUMPELEKA JELA

Lionel Messi Messi na baba yake Jorge. STAA wa soka duniani ambaye anayeichezea timu ya mabingwa wa La Liga 2014/2015, Barcelona, Lionel Messi anatarajiwa kupandishwa kizimbani kujibu tuhuma za ukwepaji wa kodi nchini humo. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Mamlaka ya Mapato Hispania, ilisema kuwa kama hatalipa kodi hiyo mapema iwezekananvyo, atapandishwa kizimbani au… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kikwete: Sihusiki na ukwepaji kodi

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ameeleza kushangazwa kwake na watu wanaomtuhumu kupitia  vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa anahusika na ukwepaji kodi ya makontena alipokuwa madarakani.

 

9 years ago

Mtanzania

Maji Marefu afunguka ukwepaji kodi

1NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MBUNGE wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani (CCM), amesema hajawahi kukwepa kodi na wala hatarajii kufanya hivyo kwa kuwa anajua umuhimu wake.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ngonyani ambaye ni maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu, alisema yeyote anayemtuhumu kuwa ni mkwepa kodi, anataka kumchonganisha na Serikali katika kipindi hiki ambacho Rais Dk. John Magufuli anahimiza wananchi kulipa kodi.

Profesa Maji Marefu alitoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Misamaha, ukwepaji kodi unavyotesa Watanzania

Inashangaza kuona taifa lina watu wengi maskini, Serikali inasamehe wawekezaji mabilioni kila mwaka.

 

10 years ago

Habarileo

Kamishna Mkuu TRA ‘alia’ na misamaha, ukwepaji kodi

 Kamishna Mkuu wa TRA, Rished BadeMAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inaweza kukusanya kiasi cha Sh trilioni tano kwa mwaka kutoka kiasi cha Sh trilioni 3.9 za sasa kwa mwaka, endapo misamaha ya kodi na ukwepaji wa kodi utadhibitiwa.

 

9 years ago

Michuzi

WATUHUMIWA 40 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA UKWEPAJI KODI.

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa 40 ambao wanahojiwa kwa tuhuma za kula njama na kuikosesha serikali mapato. Uchunguzi unafanywa kwa pamoja na maafisa wa Jeshi la Polisi na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwa lengo la kubaini jinsi ambavyo makontena 329 na mengine 2489 yalivyotolewa bandarini kinyume cha taratibu.

Kati ya hao, watuhumiwa 26 ni watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)na watumishi 03 kutoka Bandari kavu (ICD) YA AZAM wanatuhumiwa...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

PAC imeanza uchunguzi kuhusu ukwepaji kodi unaofanywa na makampuni ya Kimataifa

PAC imeanza uchunguzi kuhusu ukwepaji kodi unaofanywa na makampuni ya kimataifa.

Leo tarehe 30 Machi 2014, kamati ya BUNGE ya PAC imeanza rasmi uchunguzi kuhusu ukubwa wa tatizo la ukwepaji kodi na utoroshwaji wa fedha unaofanywa na makampuni ya kimataifa ( multinational corporations). Uchunguzi huu unatokana azimio la umoja wa kamati za PAC za nchi za SADCOPAC lilioamuliwa Arusha, Tanzania mwezi Septemba mwaka 2013 ( Azimio lilisomeka – PACs should initiate investigations on the extent of...

 

11 years ago

GPL

MHE AMOS MAKALLA (MB): TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKWEPAJI KODI SH 662,500

Mbunge mvomero na Naibu Waziri maji, Amos Makalla. Nimesoma habari gazeti la UHURU la leo tarehe 9 Julai,2014 lenye kichwa cha habari TRA YAZUIA GARI LA NAIBU WAZIRI. Adaiwa kukwepa kulipa kodi kwa miaka miwili kodi ya leseni ya barabara. Nachukua fursa hii kukanusha habari hizo kuwa ni za uongo zenye hila na mwelekeo wa kisiasa kwa aliyeandika kwa makusudi kwa lengo la kunichafua na kunishushia heshima yangu.Habari iliyoandikwa...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKWEPAJI KODI SH 662,500 - MHE AMOS MAKALLA (MB)

Nimesoma habari gazeti la UHURU la leo tarehe 9 Julai,2014 lenye kichwa cha habari TRA YAZUIA GARI LA NAIBU WAZIRI.Adaiwa kukwepa kulipa kodi kwa miaka miwili kodi ya leseni ya barabara.Nachukua fursa hii kukanusha habari hizo kuwa ni za uongo zenye hila na mwelekeo wa kisiasa kwa aliyeandika kwa makusudi kwa lengo la kunichafua na kunishushia heshima yangu.Habari iliyoandikwa imejaa uzushi,hila na upungufu mkubwa wa kimaadili ya kiuandishi wa habari.NAOMBA uuma wa watanzania kujua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani