Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE AMOS MAKALLA (MB): TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKWEPAJI KODI SH 662,500

Mbunge mvomero na Naibu Waziri maji, Amos Makalla. Nimesoma habari gazeti la UHURU la leo tarehe 9 Julai,2014 lenye kichwa cha habari TRA YAZUIA GARI LA NAIBU WAZIRI. Adaiwa kukwepa kulipa kodi kwa miaka miwili kodi ya leseni ya barabara. Nachukua fursa hii kukanusha habari hizo kuwa ni za uongo zenye hila na mwelekeo wa kisiasa kwa aliyeandika kwa makusudi kwa lengo la kunichafua na kunishushia heshima yangu.Habari iliyoandikwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKWEPAJI KODI SH 662,500 - MHE AMOS MAKALLA (MB)

Nimesoma habari gazeti la UHURU la leo tarehe 9 Julai,2014 lenye kichwa cha habari TRA YAZUIA GARI LA NAIBU WAZIRI.Adaiwa kukwepa kulipa kodi kwa miaka miwili kodi ya leseni ya barabara.Nachukua fursa hii kukanusha habari hizo kuwa ni za uongo zenye hila na mwelekeo wa kisiasa kwa aliyeandika kwa makusudi kwa lengo la kunichafua na kunishushia heshima yangu.Habari iliyoandikwa imejaa uzushi,hila na upungufu mkubwa wa kimaadili ya kiuandishi wa habari.NAOMBA uuma wa watanzania kujua...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe Amos Makalla ahudhuria mafunzo ya uongozi Marekani


Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla akiwa na baadhi ya washiriki aw mafunzo ya uongozi chuo cha uongozi cha Leadership institute, Arlington,VirginiaMhe Makalla ashiriki mafunzo ya uongozi na Chou cha leadership Institute, Arlington,Virginia

 

9 years ago

Michuzi

Mhe. Amos Makalla AAGA RASMI WIZARA YA MAJI

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Amos Makalla leo mchana ameaga rasmi watumishi wa Wizara ya Maji na kwenda kuanza majukumu mapya kama Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mhe. Makalla ambaye alifika Wizarani hapo, akitokea Ikulu alikoapishwa rasmi na Mhe. Rais, Jakaya Mrisho Kikwete, mara baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mhe. Makalla ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Maji kwa zaidi ya mwaka mmoja, aliweza kufanya kazi kwa weledi mkubwa licha kuwa mgeni kwenye Sekta hiyo, ambapo...

 

11 years ago

GPL

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA WILAYANI MANYONI

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Amos Makalla akipata maelezo wa ujenzi wa bwawa la kijiji cha Itagate wilayani Manyoni.
Mhe. Amos Makalla (katikati) na Mbunge wa Manyoni, Capt John Chiligati (shati la kahawia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu cha kijiji cha…

 

11 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri maji Mhe Amos Makalla wilaya ya manyoni

Naibu Waziri wa Maji Mhe  Amos makalla akipata maelezo wa ujenzi wa bwawa la kijiji cha Itagate wilayani Manyoni  Mhe Amos Makalla ( katikati) na mbunge wa manyoni capt John chiligati (shati la kahawia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu kijiji cha Mbwasa Nawasilisha.  Mhe Amos Makalla ( katikati) na mbunge wa Manyoni Mhe  John chiligati (kulia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu katika kijiji cha Mbwasa

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla mjini Babati

Naibu waziri wa maji Amos Makalla amefanya ziara katika halmshauri ya Babati vijijini,Babati mji Na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Babati(BAWASA). Katika halmashauri ya Babati vijijini ameweka jiwe la msingi mradi mkubwa wa maji kijiji cha Riroda wananchi 4000 wanapata maji safi Katika Halmashauri ya Babati mji ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Managhat watu zaidi ya 3,000 watanufaika kuanzia kesho Aidha ameweka jiwe la msingi jengo kubwa la kisasa la mamlaka ya maji...

 

10 years ago

Michuzi

mhe amos makalla azindua mradi wa maji kijijini Endamaghan, Karatu, leo

Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Endamaghan wilayani Karatu leo akiwa amezungukwa na wakaazi wa kijiji hicho ambao wameishukuru serikali kwa mradi huo ambao wameuita ni mkombozi kwani utawaondolea kabisa shida ya kutembea umbali mrefu kutafuta majiNaibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akihutubia wakati wa kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Endamaghan wilayani Karatu leo akiwa amezungukwa na wakaazi wa kijiji hicho ambao wameishukuru...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla wilayani Hanang leo

Naibu waziri wa maji Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilayani Hanang leo kwa kutembelea mradi wa maji kijiji cha Ishponga na kuagiza Generator lifungwe haraka kurejesha huduma ya maji iliyosimama kwa miezi mitatu Amekagua mradi maji Kateshi na kuhaidi kushughulikia tatizo la nishati ya umeme linalopelekea mamlaka kushindwa kumudu gharama za uendeshaji Ameweka jiwe la msingi mradi mkubwa wa maji kijiji cha Simbay kata na tarafa ya Simbay Aidha ameagiza mradi wa mradi wa maji wa Endasak...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani