ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA WILAYANI MANYONI
![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxyGTZ*9cfknS7YDBWjPYlPD8HIWK0URq5R1QpM7Bf0hn6NGFlfmkHy9qg74sId9wOd4Zq8bB1bDqgW9tRR3dT-Y/makalla.jpg?width=650)
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Amos Makalla akipata maelezo wa ujenzi wa bwawa la kijiji cha Itagate wilayani Manyoni. Mhe. Amos Makalla (katikati) na Mbunge wa Manyoni, Capt John Chiligati (shati la kahawia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu cha kijiji cha…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FiBR9DcjfH4/U7JnIMT8hmI/AAAAAAAFt48/RNNjV52OSQs/s72-c/20140630_111320.jpg)
Ziara ya naibu waziri maji Mhe Amos Makalla wilaya ya manyoni
![](http://3.bp.blogspot.com/-FiBR9DcjfH4/U7JnIMT8hmI/AAAAAAAFt48/RNNjV52OSQs/s1600/20140630_111320.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-9zoLqFo2brM/U7JnKAn74UI/AAAAAAAFt5I/NgkYqVholIQ/s1600/20140630_120613.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-vc7K4ehE6sE/U7JnJmVDQKI/AAAAAAAFt5E/55tJ_W_LWII/s1600/20140630_160656.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-L1m1RJQX8dU/VNo-G-CF7II/AAAAAAAHC5o/4f1OcbqiAxQ/s72-c/unnamed%2B(34).jpg)
Ziara ya naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla wilayani Hanang leo
Naibu waziri wa maji Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilayani Hanang leo kwa kutembelea mradi wa maji kijiji cha Ishponga na kuagiza Generator lifungwe haraka kurejesha huduma ya maji iliyosimama kwa miezi mitatu Amekagua mradi maji Kateshi na kuhaidi kushughulikia tatizo la nishati ya umeme linalopelekea mamlaka kushindwa kumudu gharama za uendeshaji Ameweka jiwe la msingi mradi mkubwa wa maji kijiji cha Simbay kata na tarafa ya Simbay Aidha ameagiza mradi wa mradi wa maji wa Endasak...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lwnOhugkbFA/Vc_I8NcBRLI/AAAAAAAHxMM/lBS9NTbNmhM/s72-c/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
Ziara ya naibu waziri wa maji Amos Makalla wilayani sengerema, Mwanza
Naibu waziri wa maji Amos G Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Sengerema kwa kukagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji unaofadhiliwa na benki ya maendeleo ya Afrika na serikali ya Tanzania. Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 20 na utanufaisha watu wapatao 108,000 hadi kufikia mwaka 2025 Naibu Waziri wa maji ametembelea chanzo cha maji ziwa victoria kijiji cha Nyamazugo, ujenzi wa matanki maeneo ya Mwabaluhi na Igogo na kuwataka wakandarasi kampuni ya Kichina Ya CCECC ltd na mhandisi...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9ZhFdaDOoxM/VNwghcixiPI/AAAAAAAHDMo/YJp4KyNrU1A/s72-c/unnamed%2B(71).jpg)
Ziara ya naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla mjini Babati
Naibu waziri wa maji Amos Makalla amefanya ziara katika halmshauri ya Babati vijijini,Babati mji Na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Babati(BAWASA). Katika halmashauri ya Babati vijijini ameweka jiwe la msingi mradi mkubwa wa maji kijiji cha Riroda wananchi 4000 wanapata maji safi Katika Halmashauri ya Babati mji ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Managhat watu zaidi ya 3,000 watanufaika kuanzia kesho Aidha ameweka jiwe la msingi jengo kubwa la kisasa la mamlaka ya maji...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-d_a_RvwjQUM/VTnGqWHvdKI/AAAAAAAA7Zc/Et5gxmgSE9E/s72-c/AM%2B1.jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAJI MUFINDI NA SONGEA
![](http://4.bp.blogspot.com/-d_a_RvwjQUM/VTnGqWHvdKI/AAAAAAAA7Zc/Et5gxmgSE9E/s1600/AM%2B1.jpg)
Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Mufindi na Songea. Akiwa wilayani Mufindi, Mh Makalla amekagua mradi mkubwa wa Maji wa ikilimanzoo na kuelekeza mkandarasi aukamilishe haraka. Aidha Naibu Waziri huyo wa Maji amekagua na kutoa cheti kwa jumuiya ya watumia maji Mkongotema na Magingo (MAMKO). Leo Ijumaa ataendelea na ziara yake...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-B4-tAyRwvGw/U8RzjsWDicI/AAAAAAAF2OI/GIMF-wuxVuQ/s72-c/unnamed+(73).jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE AMOS MAKALLA ATEMBELEA MIRADI YA MAJI MIKOA YA PWANI NA DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Maji, Mhe Amos Makalla ameanza ziara yake ya siku nne ya kukagua miradi ya maji katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam kwa kutembelea tenki la maji la Chuo Kikuu cha Ardhi na mradi wa maji Ruvu Juu. “Serikali hailengi tu kuleta maji, ila pia kutatua tatizo la upotevu wa maji. Bali, tumejiandaaje kupokea maji ya kutosha kutokana na mradi mkubwa unaoendelea Ruvu Juu. Hivyo, hatuna budi kukarabati au kujenga kabisa upya matenki yote mabovu kabla ya kuanza kupata maji...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dTsC9iXnVmE/VKmFhYvYIXI/AAAAAAAG7RQ/D82R5wk9xXg/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla avamia mkoa wa Dar es salaam, abaini wizi mkubwa wa maji
Naibu waziri Maji Mhe Amos Makalla leo amefanya ziara ya kustukiza mkoa Dar es salaam, ambapo amekamata wezi wa maji 12, amewatimua kazi mameneja wa maji Boko na Kimara na pia ametangaza operasheni kubwa zaidi ya kusaka wezi wa maji jijini Dar es salaam
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiangalia miundombinu ya wizi wa maji Magomeni
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akitembelea kitongoji cha Manzese kusaka wezi wa maji
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiangalia matenki...
![](http://4.bp.blogspot.com/-dTsC9iXnVmE/VKmFhYvYIXI/AAAAAAAG7RQ/D82R5wk9xXg/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-10wzkPu0vP4/VKmFheFuf2I/AAAAAAAG7RI/RevQbXo0TxY/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mdFD7lU0K2Q/VKmFhk1UjaI/AAAAAAAG7RM/1mXN_12sIfQ/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
9 years ago
MichuziZIARA YA NAIBU WAZIRI MAJI AMOS MAKALLA MJINI GEITA
NAIBU waziri wa maji Amos Makalla leo ametembelea mradi unaotekelezwa kwa ushirikiano wa serikali na mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) wa uboreshaji huduma ya maji kwa mji wa Geita, Mradi huu unagharimu fedha sh 10 bilioni ambao kukamilika kwake kutaongeza huduma ya upatikanaji maji kutoka asilimia 13 iliopo sasa hadi kufikia asilimia 57.
Kwa mujibu wa tathmini ya kazi iliyofanyika mradi huu unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi august mwaka huu na naibu waziri wa maji ameagiza...
Kwa mujibu wa tathmini ya kazi iliyofanyika mradi huu unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi august mwaka huu na naibu waziri wa maji ameagiza...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yi2EdAXAE0g/UvRl-tE-PGI/AAAAAAAFLdk/IMDp63X87Hs/s72-c/unnamed+(5).jpg)
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-yi2EdAXAE0g/UvRl-tE-PGI/AAAAAAAFLdk/IMDp63X87Hs/s1600/unnamed+(5).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ooPySYtHfww/UvRl_ATfUMI/AAAAAAAFLd4/VFty8n3L0SY/s1600/unnamed+(7).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania