'Tunaunga mkono upunguzaji misamaha ya kodi'
TAASISI ya Sekta Binafsi (TPSF) inaunga mkono hatua ya Serikali ya kupunguza misamaha ya kodi, lakini imetaka utekelezaji wake kuwa makini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na TPSF, hatua ya kupunguza misamaha ya kodi ni nzuri, lakini utekelezaji wake unatakiwa kufanywa kwa umakini ili isije kuzuia ukuaji katika sekta.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania