Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

10 years ago

Mtanzania

Bajeti yawagawa wabunge

bulaya-akitoa-maoniBAJETI Kuu ya Serikali iliyosomwa jana na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya, imewagawa wabunge ambapo baadhi wameiponda, huku wengine wakiisifia.
Baadhi ya wabunge hao wakiwamo wa vyama vya upinzani na chama tawala CCM, walisema bajeti hiyo haina jambo jipya na imezidi kuongeza mzigo wa umasikini kwa wananchi.

LUHAGA MPINA
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), alisema kupandisha ushuru wa mafuta ya taa, petroli na dizeli ni kuongeza ugumu wa maisha kwa mwananchi kwa sababu ongezeko lolote...

 

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPOKEA MAPENDEKEZO YA MFUMO WA BAJETI KWA MWAKA 2014/2015 KATIKA UKUMBI WA MWAL. NYERERE,JIJINI DAR

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akitoa maneno ya utangulizi kwa Waheshimiwa Wabunge wakati wa semina ya wabunge wote kwa ajili ya uwasilishwaji wa mapendekezo ya mfumo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Uhusiano Mhe. Steven Wazira akiwasilisha mwelekeo wa hali ya uchumi kwa mwaka 2014/2015 kwa waheshimiwa wabunge Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo wa Mapato na Matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bajeti ya upinzani 2014/15 isipuuzwe

UKISOMA mawazo ya wanasiasa na watu wa kada mbalimbali kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, utapata picha kuwa kuna kasoro kubwa sana katika bajeti hiyo pengine kuliko...

 

11 years ago

Mwananchi

Waiponda Bajeti Wizara ya Afya

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema Serikali imeweka rehani wananchi wake kutokana na uamuzi wake wa kuchangia kiasi kidogo cha fedha za maendeleo za Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii mwaka 2014/15.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge 10 watikisa mjadala wa bajeti 2015

Wakati Bunge likitarajiwa kupiga kura kesho kupitisha Bajeti, mjadala wa makadirio na matumizi hayo ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16 ulitarajiwa na kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao, huku wabunge 10 wakitoa kauli ambazo zilisisimua chombo hicho cha kutunga sheria.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM wazidi kuipinga bajeti

>Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi jana waliipinga hadharani bajeti ya Serikali inayoendelea kujadiliwa bungeni, kwa madai hawatakuwa tayari kuiunga mkono kwa kuwa haina jipya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani