Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bajeti ya upinzani 2014/15 isipuuzwe

UKISOMA mawazo ya wanasiasa na watu wa kada mbalimbali kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, utapata picha kuwa kuna kasoro kubwa sana katika bajeti hiyo pengine kuliko...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bajeti ya upinzani yatoa mwanga

WAKATI serikali ikishindwa kubainisha vyanzo vipya vya mapato, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeainisha maeneo nane yatakayoliwezesha taifa kupata sh trilioni 6.194. Mbali na kutoa vyanzo hivyo vipya, bajeti mbadala...

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani, Kamati ya Bunge waifumua bajeti ya Elimu

>Kambi ya Upinzani Bungeni imeilipua Serikali ikihoji vigezo ilivyotumia kutoa taarifa ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), inayoonyesha kuwa sekta ya elimu imefanikiwa kwa asilimia 81 na kushika nafasi ya kwanza ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mkakati huo.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Bajeti ya Upinzani ina maono, Serikali iyafanyie kazi

Tumeisoma kwa umakini mkubwa Bajeti ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa mwaka 2015/16 iliyowasilishwa bungeni juzi na Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia. Bajeti hiyo kwa kiasi kikubwa imeanika kasoro nyingi zilizomo katika Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2015/16 kiasi cha kuibua maswali mengi kama kweli uandaaji wa bajeti za Serikali katika miaka ya hivi karibuni umekuwa ukizingatia weledi na vigezo vinavyotumika katika mataifa mengi duniani, ikiwa ni pamoja na kutumia takwimu...

 

11 years ago

Mwananchi

Tucta yakerwa na Bajeti 2014/15

>Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), limekosoa Bajeti ya Serikali ya mwaka 2014/15, kutokana na kuongeza kodi ya bidhaa na kupunguza kwa asilimia moja tu kodi ya mishahara ya wafanyakazi (PAYE).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bajeti ya 2014/15 ni ya wananchi au wawekezaji?

WATANZANIA walitegemea bajeti ya mwaka 2014/15 italenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wananchi masikini, kutengeneza ajira nyingi hasa kwa wanawake na vijana pamoja na kukuza uwekezaji wa ndani. Pia ilitegemewa kuinua maisha ya waishio...

 

11 years ago

Dewji Blog

Bajeti 2014/2015 yauma na kupuliza!

unnamed (33)

Mheshimiwa Saada Mkuya Salum (Mb), akiwasili Bungeni Mjini Dodoma kuwasilisha mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi  kwa Mwaka 2014/15 leo. 

Na MOblog Team, Dodoma

BAJETI mpya ya mwaka wa fedha ya 2014/2015 iliyopitishwa leo na Bunge la Bajeti mjini Dodoma, imeendelea kuwa chungu kwa watumiaji wa vinywaji mbalimbali nchini.

Baada ya serikali kuendelea kupandisha ushuru wa bidhaa za  vinywaji baridi, vilevi pamoja na bidhaa za tumbaku kwa kila bidhaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani