Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upinzani, Kamati ya Bunge waifumua bajeti ya Elimu

>Kambi ya Upinzani Bungeni imeilipua Serikali ikihoji vigezo ilivyotumia kutoa taarifa ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), inayoonyesha kuwa sekta ya elimu imefanikiwa kwa asilimia 81 na kushika nafasi ya kwanza ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mkakati huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yaikataa bajeti Maliasili na Utalii

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu, ya Maliasili na Utalii, James Lembeli KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii jana ilikataa kujadili bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii huku ikiwataka Waziri na watendaji wake kuondoka ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dar es Salaam ambako walikuwa wakutane kwa majadiliano.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI

Kamati ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema wiki hii ilikutana na Watendaji wa Wizara ya Ujenzi kwa ajili ya kupitia maepndekezo ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.   Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli awali kabla ya kuwasilisha mapendekezo hayo kwanza alianza kwa kutoa tarifa ya utekelezaji kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 ambapo Wizara ya Ujenzi ilitengewa Shilingi 381,205,760,000.00 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida. Hadi...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YARIDHISHWA NA KASI UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE

Waziri wa Nishati Dkt Medadi Kalemani akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kikao na kamati ya Bunge ya Bajeti Mokoani Morogoro Leo March 6,2020.

…………………………………………………………………Na Farida Said, Morogoro

Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepewa wasilisho juu ya maendeleo ya utekelezaji mradi Julius Nyerere (Mw 2115).

Wasilisho hilo limetolewa Mkoani Morogoro kwenye ukumbi wa bwalo la JKT Umwema na kuhudhuriwa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani,...

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA BAJETI OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Mhe. Angella Kairuki akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati walipowasilisha taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Asha Abdalla Juma akizungumza...

 

10 years ago

Dewji Blog

5 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA BAJETI – MAKAO MAKUU YA KAMPUNI YASIGARA TANZANIA (TCC Plc.)

 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC Plc.), Bw Michael Bachan (wa pili kulia –waliosimama) akiwakaribisha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya  Bajeti pamoja na maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwenye ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam  wakati wajumbe hao walipofanya ziara hivi karibuni  ili kufahamu ufanisi wa mfumo wa stempu za kodi za kielektroniki (Electronic Tax Stamp – ETS) unaotumiwa na kampuni hiyo. Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya ...

 

10 years ago

Vijimambo

KASHFA YA ESCROW ZAMNG’OA CHENGE RASMI...ATANGAZA KUACHIA NAFASI YA UWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI

PIX 3.






WAKATI Watanzania wakisubiri hatima ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ambaye Rais Jakaya Kikwete alisema anamuweka kiporo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge, ametangaza rasmi kuachia nafasi hiyo.
Bunge lililopita baada ya kujadili ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu miamala iliyofanyika kwenye Akaunti ya Tegeta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani