Bajeti ya 2014/15 ni ya wananchi au wawekezaji?
WATANZANIA walitegemea bajeti ya mwaka 2014/15 italenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wananchi masikini, kutengeneza ajira nyingi hasa kwa wanawake na vijana pamoja na kukuza uwekezaji wa ndani. Pia ilitegemewa kuinua maisha ya waishio...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi08 May
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda
11 years ago
Mwananchi14 Jun
MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Bajeti ya upinzani 2014/15 isipuuzwe
UKISOMA mawazo ya wanasiasa na watu wa kada mbalimbali kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, utapata picha kuwa kuna kasoro kubwa sana katika bajeti hiyo pengine kuliko...
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Tucta yakerwa na Bajeti 2014/15
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRm98t7cro1-GRjELe*QDGNMdcVkxByUKapJQXlci2EE1fjIytwu94mHtMPEqv5Nt7zHPK4pSNmM8Za9Cs0-oTFp/02.jpg?width=650)
BAJETI 2014/15 CHAI MAOFISI YA SERIKALI NO
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Mbeya wapitisha bajeti ya 2014/2015
BARAZA la Madiwani katika Halmashauiri ya jiji la Mbeya limesema kuwa kiwango cha ukusanyaji wa mapato yatokanayo na kodi ya ushuru ya majengo ni kidogo ikilinganishwa na hadhi ya jiji hilo pamoja wingi wa...
11 years ago
Mwananchi05 May
Bajeti ya 2014/15 itambue sekta ya michezo
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Bajeti 2014/2015 yauma na kupuliza!
Mheshimiwa Saada Mkuya Salum (Mb), akiwasili Bungeni Mjini Dodoma kuwasilisha mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka 2014/15 leo.
Na MOblog Team, Dodoma
BAJETI mpya ya mwaka wa fedha ya 2014/2015 iliyopitishwa leo na Bunge la Bajeti mjini Dodoma, imeendelea kuwa chungu kwa watumiaji wa vinywaji mbalimbali nchini.
Baada ya serikali kuendelea kupandisha ushuru wa bidhaa za vinywaji baridi, vilevi pamoja na bidhaa za tumbaku kwa kila bidhaa...