Mbeya wapitisha bajeti ya 2014/2015
BARAZA la Madiwani katika Halmashauiri ya jiji la Mbeya limesema kuwa kiwango cha ukusanyaji wa mapato yatokanayo na kodi ya ushuru ya majengo ni kidogo ikilinganishwa na hadhi ya jiji hilo pamoja wingi wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi08 May
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Cape Town wapitisha bajeti ya Sh12.2bil kumuaga Mandela
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Madudu kwenye Bajeti 2014/2015
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Bajeti 2014/2015 yauma na kupuliza!
Mheshimiwa Saada Mkuya Salum (Mb), akiwasili Bungeni Mjini Dodoma kuwasilisha mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka 2014/15 leo.
Na MOblog Team, Dodoma
BAJETI mpya ya mwaka wa fedha ya 2014/2015 iliyopitishwa leo na Bunge la Bajeti mjini Dodoma, imeendelea kuwa chungu kwa watumiaji wa vinywaji mbalimbali nchini.
Baada ya serikali kuendelea kupandisha ushuru wa bidhaa za vinywaji baridi, vilevi pamoja na bidhaa za tumbaku kwa kila bidhaa...
11 years ago
MichuziBUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 2014/2015
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi yenye jumla ya Shilingi 1,219,717,592,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2014/15.
Hatua hiyo ya Bunge kupitisha Bajeti hiyo itawezesha Wizara ya Ujenzi kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kuendeleza Sekta ya Ujenzi hapa nchini.
Akiwasilisha hotuba ya bajeti hiyo jana, Waziri wa...
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Bajeti 2014/2015 imebana, kila kona kilio
11 years ago
Dewji Blog06 May
Bunge la Bajeti 2014/2015: lisiwe la Vurugu, Matusi na Kejeli
Tamko Vikao Vya Bajeti 20142015 by moblog
11 years ago
Mwananchi01 May
Waziri wa Fedha: Bajeti ya mwaka 2014/2015 ni Sh19.6 trilioni