BAJETI 2014/15 CHAI MAOFISI YA SERIKALI NO
![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRm98t7cro1-GRjELe*QDGNMdcVkxByUKapJQXlci2EE1fjIytwu94mHtMPEqv5Nt7zHPK4pSNmM8Za9Cs0-oTFp/02.jpg?width=650)
Stori: mwandishi wetu, dodoma KATIKA kubana matumizi kutokana na ufinyu wa fedha, hasa zinazotoka kwa wahisani na wafadhili mbalimbali, serikali imeondoa baadhi ya mambo yasiyo na umuhimu katika utoaji wa fedha kwa wizara, ikiwemo unywaji wa chai maofisini. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alisema bajeti ya mwaka huu ni kiasi cha trilioni 19.6 na kwamba kutokana na miradi mbalimbali ya maendeleo kukwama kutokana na kutopatikana...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi08 May
11 years ago
Michuzi16 Jun
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Waziri Wassira ataja vipaumbele vya Serikali
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXwj2LF-wHYRU4GLi3lFGgmTnvKpP4jirUaodxSH61Y8G*z1XhUGcQWk8hMD1oJfvpCa4gC45SOAW2FavVre0kom/02.jpg?width=650)
BAJETI KUU YA SERIKALI: TAKRIBANI SH. TRIL. 19. 7 ZATARAJIWA KUTUMIKA MWAKA 2014/2015
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JF5JzD-Wz3Q/U6ANCqi4ZDI/AAAAAAAFrL8/gKzcj3p8tc0/s72-c/zitto.jpg)
11 years ago
Zitto Kabwe, MB17 Jun
MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda
11 years ago
Mwananchi14 Jun
MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014
5 years ago
MichuziMBUNGE HONGOLI AWATOA HOFU WAKULIMA WA CHAI LUPEMBE KUHUSU MALIPO YAO YA CHAI
Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Joramu Hongoli akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Lupembe, mkoani Njombe, ambapo pamoja na mambo mengine alisisitiza kuimarisha umoja na mshikamano kati ya wananchi na viongozi mbalimbali ili kurahisisisha kutatua kero na kuleta maendeleo katika Kata hiyo. Pia alizungumzia suluhisho la malipo ya wakulima wa chai wanaovidai viwanda . Aliwatoa hofu kwamba wasiwe na wasiwasi serikali iko pamoja nao na kwamba fedha zao watalipwa hivi punde. Kutoka kulia ni ...