Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

BAJETI KUU YA SERIKALI: TAKRIBANI SH. TRIL. 19. 7 ZATARAJIWA KUTUMIKA MWAKA 2014/2015

Spika wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiwaasa wabunge wote kushiriki kikamilifu katika kamati zao kizalendo kwa kujali nchi yao ili ipatikane bajeti yenye tija kwa taifa leo (jana) wakati wa kupokea taarifa ya Wizara ya fedha jijini Dar es salaam. Waziri wa Fedha Saada Mkuya  Salum akiwasilisha taarifa ya sura ya Bajeti kuu ya Serikali kwa wabunge leo (jana)  jijini Dar es salaam… ...

GPL

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa aipigia kura ya ndio bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Anna Chilolo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akipiga kura ya ndio wakati bunge lilipokuwa likipitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo....

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AIPIGIA KURA YA NDIO BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Anna Chilolo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akipiga kura ya ndio wakati bunge lilipokuwa likipitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo....

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...

10 years ago

Michuzi

Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 — 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.

“PIGA KITABU NA LAPF”WANACHAMA WA LAPF KUNUFAIKA NA FAO LA ELIMU
Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 – 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
15 Septemba 2014, Dodoma: Wanachama wa mfuko wa penseni wa LAPF kunufaika na fao jipya lilozinduliwa hivi karibuni nchini kwa Baraka zake Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia. 
Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa LAPF mikopo ya elimu ya juu kwani ni ombi la...

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA UWASILISHAJI WA MAPENDEKEZO BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2020/2021

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akipongezwa na Wabunge baada ya kuwasilishwa Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi  kwa mwaka 2020/2021, bungeni jijini DodomaKatibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, (wa tatu kushoto) na Wakuu wa Taasisi, Idara wa Wizara hiyo na Viongozi wengine wa Serikali ...

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha: Bajeti ya mwaka 2014/2015 ni Sh19.6 trilioni

Serikali imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani