Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI : Bajeti ya Upinzani ina maono, Serikali iyafanyie kazi

Tumeisoma kwa umakini mkubwa Bajeti ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa mwaka 2015/16 iliyowasilishwa bungeni juzi na Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia. Bajeti hiyo kwa kiasi kikubwa imeanika kasoro nyingi zilizomo katika Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2015/16 kiasi cha kuibua maswali mengi kama kweli uandaaji wa bajeti za Serikali katika miaka ya hivi karibuni umekuwa ukizingatia weledi na vigezo vinavyotumika katika mataifa mengi duniani, ikiwa ni pamoja na kutumia takwimu...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Utoro wa wabunge umeathiri Bajeti ya Serikali

Bunge kwa siku kadhaa limekuwa likijadili Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16. Jambo la kusikitisha ni kuwa, kinyume na mijadala ya bajeti kuu za Serikali iliyofanyika miaka ya nyuma, mjadala wa bajeti ya mwaka wa fedha ujao umekuwa na upungufu mkubwa kutokana na kuhusisha idadi ndogo sana ya wabunge.

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bajeti ya upinzani yatoa mwanga

WAKATI serikali ikishindwa kubainisha vyanzo vipya vya mapato, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeainisha maeneo nane yatakayoliwezesha taifa kupata sh trilioni 6.194. Mbali na kutoa vyanzo hivyo vipya, bajeti mbadala...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bajeti ya upinzani 2014/15 isipuuzwe

UKISOMA mawazo ya wanasiasa na watu wa kada mbalimbali kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, utapata picha kuwa kuna kasoro kubwa sana katika bajeti hiyo pengine kuliko...

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani, Kamati ya Bunge waifumua bajeti ya Elimu

>Kambi ya Upinzani Bungeni imeilipua Serikali ikihoji vigezo ilivyotumia kutoa taarifa ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), inayoonyesha kuwa sekta ya elimu imefanikiwa kwa asilimia 81 na kushika nafasi ya kwanza ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mkakati huo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani wapendekeza Kura ya maoni Kenya

Wafuasi wa upinzani walikusanyika katika mji mkuu Nairobi kulalamikia maswala ambayo wanasema serikali imepuuza kuyatekeleza.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Leo ni Bajeti, ni muhimu kuisikiliza, kuielewa

Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 jioni bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Bajeti ya mwaka 2014/15 siyo endelevu

>Bajeti Kuu ya Serikali ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2014/15 iliwasilishwa bungeni mjini Dodoma jana, ambapo Serikali imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Sh19.9 trilioni kwa matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani