Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bajeti yawagawa wabunge

bulaya-akitoa-maoniBAJETI Kuu ya Serikali iliyosomwa jana na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya, imewagawa wabunge ambapo baadhi wameiponda, huku wengine wakiisifia.
Baadhi ya wabunge hao wakiwamo wa vyama vya upinzani na chama tawala CCM, walisema bajeti hiyo haina jambo jipya na imezidi kuongeza mzigo wa umasikini kwa wananchi.

LUHAGA MPINA
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), alisema kupandisha ushuru wa mafuta ya taa, petroli na dizeli ni kuongeza ugumu wa maisha kwa mwananchi kwa sababu ongezeko lolote...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama ya Kadhi yawagawa wabunge

MAHAKAMA ya Kadhi imetikisa mjadala wa Bunge Maalumu la Katiba jana. Hali hiyo inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya wajumbe ambao walipata fursa ya kuchangia waliendelea kuwashawishi wenzao wakubali mahakama hiyo iingizwe kwenye Katiba kwani ni chombo muhimu kwa waumini wa dini ya Kiislamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti yawachanganya wabunge

Dar es Salaam. Wakati Serikali imetangaza mapendekezo ya mfumo wa mapato na matumizi yake kwa mwaka 2015/16 yenye vipaumbele vinne, baadhi ya wabunge, akiwamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Dk Festus Limbu wameiponda wakisema haikuwashirikisha wadau katika uandaaji na kwamba haina kipya.

 

10 years ago

Mwananchi

BAJETI: Wabunge wamshukia Nyalandu

>Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira na Kambi ya Upinzani Bungeni jana waliungana kumbana Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu wakisema amelikosesha Taifa mabilioni ya shilingi.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge waanza kuijadili bajeti

WABUNGE leo wanaanza mjadala wa bajeti ya Serikali iliyosomwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Bajeti hiyo inajadiliwa huku miongoni mwa maeneo yanayoonesha nafuu ikiwa ni pamoja na hatua ya serikali kutangaza kupunguza kiwango cha chini cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE) hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM wazidi kuipinga bajeti

>Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi jana waliipinga hadharani bajeti ya Serikali inayoendelea kujadiliwa bungeni, kwa madai hawatakuwa tayari kuiunga mkono kwa kuwa haina jipya.

 

10 years ago

Mwananchi

Inashangaza wabunge kulipua Bajeti ya Elimu

Katika toleo letu la jana, ukurasa wa sita kulikuwa na habari iliyokuwa na kichwa kisemacho “Mvua yasababisha bajeti ya elimu kupitishwa kwa kulipuliwa” kutokana na mvua zilizonyesha mfululizo kwa takriban siku tatu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wakatae kupitisha Bajeti ya kufikirika

Bunge la Bajeti linaanza vikao vyake mjini Dodoma leo, huku Serikali ikiwa imeshindwa kutekeleza Bajeti ya mwaka 2013/14 kutokana na kukosa fedha na kusababisha miradi mbalimbali ya maendeleo na shughuli za Serikali na taasisi zake kukwama.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge 10 watikisa mjadala wa bajeti 2015

Wakati Bunge likitarajiwa kupiga kura kesho kupitisha Bajeti, mjadala wa makadirio na matumizi hayo ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16 ulitarajiwa na kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao, huku wabunge 10 wakitoa kauli ambazo zilisisimua chombo hicho cha kutunga sheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani