BAJETI: Wabunge wamshukia Nyalandu
>Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira na Kambi ya Upinzani Bungeni jana waliungana kumbana Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu wakisema amelikosesha Taifa mabilioni ya shilingi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Wabunge wamshukia Prof Maghembe
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Wabunge CUF wamshukia Ndugai
*Wadai amevunja kanuni Dk. Shein, polisi kuingia ukumbini
*Kubenea naye atangaza kumburuza mahakamani
Fredy Azzah, Dar na Ramadhan Hassan, Dodoma
WABUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) wamemtuhumu Spika wa Bunge, Job Ndugai kumruhusu Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuingia bungeni.
Kwa mujibu wa wabunge hao, Spika alifanya bhivyo licha ya wao kupinga hatua hiyo.
Vilevile, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), ametangaza kumfikisha mahakamani Spika Ndugai akidai kwamba alikiuka...
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Wananchi wamshukia Makinda, wabunge CCM
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda
10 years ago
Mwananchi02 May
Nyalandu aibua tena mgogoro na wabunge
10 years ago
Mtanzania29 May
Wabunge wampa kibano Waziri Nyalandu
Na Khamis Mkotya, Dodoma
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya wabunge wengi kushutumu utendaji wake wakisema umekuwa chanzo cha wizara hiyo kuzorota katika maendeleo.
Kwa mujibu wa wabunge hao, kitendo cha waziri huyo kushindwa kutekeleza agizo la mahakama kuhusu tozo mpya katika hoteli za utalii kimefanya Serikali kupoteza zaidi ya Sh bilioni 20 kila mwaka.
Wabunge hao pia walishangazwa na kitendo cha wizara hiyo kulazimisha mfumo wa...
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Bajeti yawagawa wabunge
BAJETI Kuu ya Serikali iliyosomwa jana na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya, imewagawa wabunge ambapo baadhi wameiponda, huku wengine wakiisifia.
Baadhi ya wabunge hao wakiwamo wa vyama vya upinzani na chama tawala CCM, walisema bajeti hiyo haina jambo jipya na imezidi kuongeza mzigo wa umasikini kwa wananchi.
LUHAGA MPINA
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), alisema kupandisha ushuru wa mafuta ya taa, petroli na dizeli ni kuongeza ugumu wa maisha kwa mwananchi kwa sababu ongezeko lolote...
10 years ago
Mwananchi30 Apr
Bajeti yawachanganya wabunge
10 years ago
VijimamboWabunge wamtia moyo Nyalandu kuhusu shutuma
Wabunge wa Kanda ya Kaskazini wamemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutovunjika moyo kutokana na kauli za baadhi ya watu wanaoushutumu utendaji wake.
Wakizungumza katika mkutano wa viongozi wa mikoa ya Arusha na Kilimanajaro, wabunge hao wamesema wanaomuandama wana kinyongo na utendaji wake.
Wabunge hao ni Aggrey...