Wabunge wampa kibano Waziri Nyalandu
Na Khamis Mkotya, Dodoma
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya wabunge wengi kushutumu utendaji wake wakisema umekuwa chanzo cha wizara hiyo kuzorota katika maendeleo.
Kwa mujibu wa wabunge hao, kitendo cha waziri huyo kushindwa kutekeleza agizo la mahakama kuhusu tozo mpya katika hoteli za utalii kimefanya Serikali kupoteza zaidi ya Sh bilioni 20 kila mwaka.
Wabunge hao pia walishangazwa na kitendo cha wizara hiyo kulazimisha mfumo wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 May
BAJETI: Wabunge wamshukia Nyalandu
10 years ago
Mwananchi02 May
Nyalandu aibua tena mgogoro na wabunge
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XgbQEQme7mo/VPpCGLJQEuI/AAAAAAAHIc8/1KvRQe_z8i4/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7F975s5rOKj9as-7TklWRFpQnCrmLP4fKunjdxT2SNd6t550CwhT3gbi2M1cm5farmmRwjRorvSQdvTrnMUPplwLvvsjkGY5/unnamed1.jpg?width=650)
WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN
10 years ago
VijimamboWabunge wamtia moyo Nyalandu kuhusu shutuma
Wabunge wa Kanda ya Kaskazini wamemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutovunjika moyo kutokana na kauli za baadhi ya watu wanaoushutumu utendaji wake.
Wakizungumza katika mkutano wa viongozi wa mikoa ya Arusha na Kilimanajaro, wabunge hao wamesema wanaomuandama wana kinyongo na utendaji wake.
Wabunge hao ni Aggrey...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-IlUX14oJkoE/VoJZY-7_rNI/AAAAAAAAASs/Iz1fKrcaDRI/s72-c/DSC_4403.jpg)
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PFOF. JUMANNE MAGHEMBE AKABIDHIWA RASMI OFISI LEO NA ALIYEKUWA WAZIRI WA WIZARA HIYO LAZARO NYALANDU
![](http://3.bp.blogspot.com/-IlUX14oJkoE/VoJZY-7_rNI/AAAAAAAAASs/Iz1fKrcaDRI/s640/DSC_4403.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-b1A2YvSAAcw/VoJZcRwLIQI/AAAAAAAAAS4/2ZSG905gCwQ/s640/DSC_4409.jpg)
11 years ago
Habarileo12 Jul
Waziri Nyalandu acharuka
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameifutia umiliki wa vitalu vitatu kampuni ya Green Miles Safaris Ltd pamoja na vibali vya uwindaji kwa kuvunja sheria ya uhifadhi wa wanyamapori.
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Waziri Nyalandu atoa mpya
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kuanzia sasa mwanamke yeyote atakayekutwaa amevalia urembo uliotengenezwa kwa nakshi na malighafi ya meno ya tembo atakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria....
10 years ago
Vijimambo28 Oct
TAARIFA KUHUSU WAZIRI NYALANDU
Katika gazeti la Jamhuri la Jumanne Agosti 19 – 25, 2014 ISSN No. 1821-8156 Toleo No. 150, zilichapishwa taarifa potofu zenye kichwa cha habari;
KASHFA IKULU;
· Nyalandu atumia Leseni ya Rais kuua wanyamapori 704 bure,
· Watakaouawa wamo pia tembo 8, chui 8, Simba 8, ndege,
· Wauaji ni Wamarekani marafiki wa Waziri wa Maliasili.
![](http://ehabari.com/wp-content/uploads/2014/01/The-newly-elevated-Minister-for-Natural-Resources-and-Tourism-Hon.-Lazaro-Samuel-Nyalandu.jpg)
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuwafahamisha Umma kuwa, tuhuma hizi si za...