Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Nyalandu atoa mpya

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kuanzia sasa mwanamke yeyote atakayekutwaa amevalia urembo uliotengenezwa kwa nakshi na malighafi ya meno ya tembo atakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI NYALANDU ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI KUHUSU KUKEMEA UJANGILI NCHINI.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu
Na Anitha Jonas – Maelezo.03 Novemba, 2014.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ametoa wito kwa Viongozi wa dini wote nchini kupaza sauti kwa pamoja kukemea vitendo vya Ujangili pamoja na Uharibifu wa mazingira nchini.
Wito huo ameutoa leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua mkutano wa viongozi wa dini unaolenga kuwaelimisha viongozi hao kutoa elimu kwa waumini wao juu ya kupinga suala la ujangili na kuwasihi juu ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU APOKEA NDEGE MPYA LEO

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Lazaro, Nyalandu leo amepokea ndege aina ya Micro Light Nyinja 5H-HEL, kutoka kwa kampuni inayojihusisha na masuala ya utalii ya Tanganyika Wildlife Safari itakayosaidia harakati za kukomesha masuala ya uuaji wanyama pori na ujangili.
Akipokea ndege hiyo jijini Dar es Salaam,Waziri Nyalandu alisema ndege hiyo ni mpya kabisa na ya usalama wa hali ya juu kutokana na muunekano wake kuwa wakisasa zaidi.
"Hii ndege ni salama zaidi kwasababu yenyewe imejengwa na...

 

9 years ago

MillardAyo

Ninazo picha za Lazaro Nyalandu akikabidhi rasmi ofisi kwa Waziri mpya wa Maliasili na Utalii

Dec 23 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake. Sasa leo Dec 29, 2015 aliyekuwa waziri wa Utalii na Maliasili, Lazaro Nyalandu amekabidhi rasmi ofisi […]

The post Ninazo picha za Lazaro Nyalandu akikabidhi rasmi ofisi kwa Waziri mpya wa Maliasili na Utalii appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AZINDUA KAMPENI MPYA YA KUWAHAMASISHA WATANZANIA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA JIJINI MWANZA LEO

 Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa amekata utepe kuashiria uzinduzi wa usafiri wa boti (Majini) katika suala zima la kurahisisha  kuhamasisha kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,hafla hiyo imefanyika mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club,jijini Mwanza,kulia ni  Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi   Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa amekata utepe kuashiria uzinduzi wa usafiri wa magari (nchi kavu)...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN

Mh. Waziri  Nyalandu akihojiwa katika banda la Tanzania na mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha Check inn cha Qatar Bw. Tajamul Hussain kuhusu utalii wa Tanzania kwa ujumla. MKurugenzi wa kampuni ya usafirishaji watalii ya Zara tours…

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN

Na Geofrey Tengeneza – Berlin Ujerumani Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu amekutana na waziri mwenzake wa Biashara na Utalii wa Kenya Bibi Phylis Kandie katika banda la Kenya na kuwa na mazungumzo yanayohusu ushirikiano wa nchi mbili katika sekta ya Utalii. Mazungumzo hayo hayakuwa rasmi hivyo hayakuhudhuriwa na wandishi wa habari Aidha Wiziri Nyalandu alitembelea banda la Tanzania na kuzungumza na washiriki wa maonesho ya ITB kutoka makampuni mbalimbali washiriki hao kwa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PFOF. JUMANNE MAGHEMBE AKABIDHIWA RASMI OFISI LEO NA ALIYEKUWA WAZIRI WA WIZARA HIYO LAZARO NYALANDU

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kushoto) akikabidhiwa taarifa ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kulia) leo tarehe 29 Desemba 2015 ofisini kwake Mpingo House. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Adelhelm Meru (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Selestine Gesimba (kulia).Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mhe. Lazaro...

 

11 years ago

Habarileo

Waziri Nyalandu acharuka

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameifutia umiliki wa vitalu vitatu kampuni ya Green Miles Safaris Ltd pamoja na vibali vya uwindaji kwa kuvunja sheria ya uhifadhi wa wanyamapori.

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi amshitaki Waziri Nyalandu

MBUNGE wa Ismani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amemtaka Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kuhoji utendaji kazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani