Ninazo picha za Lazaro Nyalandu akikabidhi rasmi ofisi kwa Waziri mpya wa Maliasili na Utalii
Dec 23 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake. Sasa leo Dec 29, 2015 aliyekuwa waziri wa Utalii na Maliasili, Lazaro Nyalandu amekabidhi rasmi ofisi […]
The post Ninazo picha za Lazaro Nyalandu akikabidhi rasmi ofisi kwa Waziri mpya wa Maliasili na Utalii appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PFOF. JUMANNE MAGHEMBE AKABIDHIWA RASMI OFISI LEO NA ALIYEKUWA WAZIRI WA WIZARA HIYO LAZARO NYALANDU
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kushoto) akikabidhiwa taarifa ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kulia) leo tarehe 29 Desemba 2015 ofisini kwake Mpingo House. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Adelhelm Meru (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Selestine Gesimba (kulia).Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mhe. Lazaro...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,LAZARO NYALANDU ATEMBELEA OFISI ZA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA (TANAPA)
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akishuka kwenye gari alipowasili ofisi za Hifadhi ya Taifa ya Arusha(TANAPA).Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha(ANAPA) Betrita Loibook akimuonesha Waziri Nyalandu mfano wa mtambo wa kufua umeme unaotazamiwa kuwekwa katika hifadhi hiyo.Mhifadhi Mkuu ,Hifadhi ya Taifa ya Arusha(TANAPA) Betrita Loibook akitoa taarifa ya Hifadhi hiyo kwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu.kwa picha zaidi bofya soma zaidiWaziri Nyalandu akizungumza...
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Lazaro Nyalandu: Waziri wa Maliasili na Utalii
Lazaro Nyalandu alizaliwa Agosti 18, 1970 mkoani Singida, hivyo atafikisha miaka 45 Agosti mwaka huu. Kwa sasa yeye ni Waziri wa Maliasili na Utalii.
11 years ago
Uhuru NewspaperZIARA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH. LAZARO NYALANDU NCHINI MAREKANI
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu (kulia) akizungumza na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Ahmed Issa juu ya mikakati mbalimbali ya kuvutia watalii wa kimarekani kutembelea Tanzania jana Beverly, Los Angeles.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Bw. Ahmed Issa (kushoto) na Abdul Majid baada ya kupokea taarifa ya mikakati...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Bw. Ahmed Issa (kushoto) na Abdul Majid baada ya kupokea taarifa ya mikakati...
10 years ago
VijimamboWaziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alipokutana na baadhi aya madiwani wa Loliondo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akisalimiana na baadhi aya madiwani wa Loliondo juzi alipokwenda kujadiliana nao kuhusu mgogoro wa ardhi katika maeneo hayo.Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiw ana mkuu wa wilaya ya Loliondo EliasLala lawai alipowasili katika ueanja wa ndege wa Waso, Loliondo kwa ajili ya mazungumzo na n=madiwani kuhusu mgogoro wa aerdhi uliodumu kwa miongoMakamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro, Raphael ong'oi akizungumza wakati ea kikao...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,LAZARO NYALANDU AUNDA TUME YA KUCHUNGUZA MALALAMIKO YA WANANCHI KUNYANYASWA
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi wa Kata ya Buger wilaya ya Karatu mkoa wa Arusha leo katika ziara ya siku moja kuzungumza na wananchi baada ya mwananchi mmoja kuuawa kwenye msitu wa Marang unaohifadhiwa na Shirika la Hifadhi ya Taifa(Tanapa).Waziri Nyalandu ameunda Tume ya kuchunguza mgogoro huo ambayo itatoa mapendekezo serikalini kwa utekelezaji. Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza na mmoja wa wananchi wa Kata ya Buger...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UTALII NA MALIASILI MHE. LAZARO NYALANDU AFUNGUA MKUTANO WA UHIFADHI WA WANYAMAPORI TANZANIA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha. WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa wadau na viongozi wa Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA),...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU ATEMBELEA CHUO CHA USIMAMIZI WANYAMAPORI PASIANSI-MWANZA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiangalia moja ya kompyuta maalum zinazotumiwa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa na Taasisi ya Buffet Foundation kwa jili ya mafunzo ikiwemo vitabu, kompyuta, magari na darubini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akijaribu akikagua moja ya vitanda na hema linazotumiwa na wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akijaribu akikagua moja ya vitanda na hema linazotumiwa na wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU AFANYA ZIARA KATIKA VIJIJI VINAVYOZUNGUKA HIFADHI YA RUAHA KUTATUA MIGOGORO YA WANANCHI NA WAWEKEZAJI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuhusu eneo la hifadhi lililoombwa kwa ajili ya upanuzi wa manispaa ya Iringa wakati wa ziara ya waziri wa maliasili na utalii mkoani Iringa leo. (Picha zote na Loveness Bernard)Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akifafanua jambo katika mkutano wa kutatua mgogoro kati ya wawekezaji na wananchi wanaozunguka hifadhi ya Ruaha (mbomipa). Katikati...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania