Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Nyalandu acharuka

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameifutia umiliki wa vitalu vitatu kampuni ya Green Miles Safaris Ltd pamoja na vibali vya uwindaji kwa kuvunja sheria ya uhifadhi wa wanyamapori.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ACHARUKA, AKATAA KUKAGUA JENGO LA ZAHANATI

ILE HALI ya kufanya kazi kwa mazoea (business as usual)  iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali leo imewatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Waziri Mkuu alipoamua kufanya ziara kukagua miradi ya maendeleo.
Akiwa katika eneo la kwanza ambalo alipangiwa kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Mkonze leo asubuhi (Jumamosi, Juni 7, 2014) Waziri Mkuu alipokea taarifa ya ujenzi wa kituo na kubaini kuwa hawajafanya chochote ili kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Machi 22,...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN

Mh. Waziri  Nyalandu akihojiwa katika banda la Tanzania na mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha Check inn cha Qatar Bw. Tajamul Hussain kuhusu utalii wa Tanzania kwa ujumla. MKurugenzi wa kampuni ya usafirishaji watalii ya Zara tours…

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN

Na Geofrey Tengeneza – Berlin Ujerumani Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu amekutana na waziri mwenzake wa Biashara na Utalii wa Kenya Bibi Phylis Kandie katika banda la Kenya na kuwa na mazungumzo yanayohusu ushirikiano wa nchi mbili katika sekta ya Utalii. Mazungumzo hayo hayakuwa rasmi hivyo hayakuhudhuriwa na wandishi wa habari Aidha Wiziri Nyalandu alitembelea banda la Tanzania na kuzungumza na washiriki wa maonesho ya ITB kutoka makampuni mbalimbali washiriki hao kwa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PFOF. JUMANNE MAGHEMBE AKABIDHIWA RASMI OFISI LEO NA ALIYEKUWA WAZIRI WA WIZARA HIYO LAZARO NYALANDU

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kushoto) akikabidhiwa taarifa ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kulia) leo tarehe 29 Desemba 2015 ofisini kwake Mpingo House. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Adelhelm Meru (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Selestine Gesimba (kulia).Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mhe. Lazaro...

 

11 years ago

Habarileo

Lukuvi amshitaki Waziri Nyalandu

MBUNGE wa Ismani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amemtaka Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kuhoji utendaji kazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.

 

11 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUHUSU WAZIRI NYALANDU

 TAARIFA RASMI
Katika gazeti la Jamhuri la Jumanne Agosti 19 – 25, 2014 ISSN No. 1821-8156 Toleo No. 150, zilichapishwa taarifa potofu zenye  kichwa cha habari;
  KASHFA IKULU;
·    Nyalandu atumia Leseni ya Rais kuua wanyamapori 704 bure,
·    Watakaouawa wamo pia tembo 8, chui 8, Simba 8, ndege,
·    Wauaji ni Wamarekani marafiki wa Waziri wa Maliasili.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro NyalanduI.   
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuwafahamisha Umma kuwa, tuhuma hizi si za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Nyalandu atoa mpya

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kuanzia sasa mwanamke yeyote atakayekutwaa amevalia urembo uliotengenezwa kwa nakshi na malighafi ya meno ya tembo atakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria....

 

10 years ago

Mwananchi

Lazaro Nyalandu: Waziri wa Maliasili na Utalii

Lazaro Nyalandu alizaliwa Agosti 18, 1970 mkoani Singida, hivyo atafikisha miaka 45 Agosti mwaka huu. Kwa sasa yeye ni Waziri wa Maliasili na Utalii.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Nyalandu akana kutofautiana na Lembeli

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili ma Utalii Lazaro Nyalandu, juzi alikutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili, James Lembeli jijini Mwanza na kutoa tamko la kupambana na ujangili nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani