WAZIRI MKUU ACHARUKA, AKATAA KUKAGUA JENGO LA ZAHANATI
ILE HALI ya kufanya kazi kwa mazoea (business as usual) iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali leo imewatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Waziri Mkuu alipoamua kufanya ziara kukagua miradi ya maendeleo.
Akiwa katika eneo la kwanza ambalo alipangiwa kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Mkonze leo asubuhi (Jumamosi, Juni 7, 2014) Waziri Mkuu alipokea taarifa ya ujenzi wa kituo na kubaini kuwa hawajafanya chochote ili kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Machi 22,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Pinda acharuka, akataa kukagua jengo la zahanati
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Pinda akataa kukagua jengo la zahanati
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, jana alikataa kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Mkonze katika Manispaa ya Dodoma, alipofanya ziara ya miradi ya maendeleo ya manispaa. Kwa mujibu wa ratiba...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MITARO NA MAENEO YALIYOATHILIWA NA KIPINDUPINDU JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi
JUST IN: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKATAA KUGOMBEA TENA UBUNGE


10 years ago
Vijimambo
UPDATES: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKATAA KUGOMBEA TENA UBUNGE

Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili katika kigango cha Kanisa Katoliki cha Kibaoni wilayani Mlele (Jumapili, Julai 19, 2015), Waziri Mkuu Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa nafasi aliyopewa ya kulitumikia Taifa akiwa Waziri Mkuu kwa miaka minane na anaamini wakati umefika wa yeye kuwaachia...
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Uhuru Kenyatta: Rais wa Kenya akataa kufuta uwezekano wa kuwa Waziri Mkuu
10 years ago
Habarileo19 Dec
Lazinduliwa jengo la wazazi, zahanati
SERIKALI imezindua jengo la wazazi, zahanati, nyumba ya watumishi wa afya na gari la kubebea wagonjwa katika wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, vyote vikiwa vimegharimu Sh bilioni 1.2.
11 years ago
Dewji Blog15 May
Kinana aunguruma Sikonge — Tabora na kukagua ujenzi wa jengo la upasuaji
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Mgambo kitongoji cha Lukula kata ya Kitunda wilayani Sikonge mkani Tabora ambapo aliwaomba radhi wakulima wa Tumbaku kwa kadhia waliyo nayo kutokana na kunyonywa na kutopata haki zao za malipo kwa miaka 3.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Mbunge wa Jimbo la Sikonge Said Mkumba wakiwasomea wananchi wa kijiji cha Lukula maeneo yatakayopata umeme mwaka huu katika wilaya ya Sikonge.
Mbunge wa...