Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda acharuka, akataa kukagua jengo la zahanati

Hali ya kufanya kazi kwa mazoea iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali imeanza kuwatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipoamua kufanya ziara kukagua miradi ya maendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ACHARUKA, AKATAA KUKAGUA JENGO LA ZAHANATI

ILE HALI ya kufanya kazi kwa mazoea (business as usual)  iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali leo imewatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Waziri Mkuu alipoamua kufanya ziara kukagua miradi ya maendeleo.
Akiwa katika eneo la kwanza ambalo alipangiwa kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Mkonze leo asubuhi (Jumamosi, Juni 7, 2014) Waziri Mkuu alipokea taarifa ya ujenzi wa kituo na kubaini kuwa hawajafanya chochote ili kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Machi 22,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda akataa kukagua jengo la zahanati

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, jana alikataa kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Mkonze katika Manispaa ya Dodoma, alipofanya ziara ya miradi ya maendeleo ya manispaa. Kwa mujibu wa ratiba...

 

10 years ago

Habarileo

Lazinduliwa jengo la wazazi, zahanati

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif RashidSERIKALI imezindua jengo la wazazi, zahanati, nyumba ya watumishi wa afya na gari la kubebea wagonjwa katika wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, vyote vikiwa vimegharimu Sh bilioni 1.2.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda acharuka Kiteto

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameagiza wakazi wa Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara wanaolima kwenye Hifadhi ya Jamii ya Emboley Murtangos waridhie amri ya Mahakama ya Rufaa ya kuwataka waondoke kwenye...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana aunguruma Sikonge — Tabora na kukagua ujenzi wa jengo la upasuaji

unnamed

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Mgambo kitongoji cha Lukula  kata ya Kitunda wilayani Sikonge mkani Tabora ambapo aliwaomba radhi wakulima wa Tumbaku kwa kadhia waliyo nayo kutokana na kunyonywa na kutopata haki zao za malipo kwa miaka 3.

unnamed (1)

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Mbunge wa Jimbo la Sikonge Said Mkumba wakiwasomea wananchi wa kijiji cha Lukula maeneo yatakayopata umeme mwaka huu katika wilaya ya Sikonge.

unnamed (2)

Mbunge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA PAN AFRICAN ENERGY YAKABIDHI JENGO LA WAUGUZI KATIKA ZAHANATI YA NANGURUKURU WILAYANI KILWA

Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa Gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki(wa katikati) akimkabidhi funguo Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mhe. Abdallah Ulega(wa pili kushoto) za jengo la Wauguzi la Zahanati ya Nangurukuru wilayani Kilwa. Wa kanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela, wapili kushoto ni Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleman Ally Bungara 'Bwege' na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilwa Mzee Ally Mtopa.(Picha na...

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda kukagua ujenzi bomba la gesi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anaanza ziara ya siku mbili kukagua ujenzi wa bomba la gesi Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKATAA KUGOMBEA TENA UBUNGE

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amekataa ombi la wananchi wa  jimbo lake la uchaguzi la Katavi la kumtaka agombee tena ubunge katika jimbo hilo ili kuendeleza mipango mbalimbali ya maendeleo aliyoianzisha. Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili katika kigango cha Kanisa Katoliki cha Kibaoni wilayani Mlele (Jumapili, Julai 19, 2015), Waziri Mkuu Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa nafasi aliyopewa ya kulitumikia Taifa akiwa Waziri Mkuu kwa miaka minane na anaamini wakati umefika wa yeye kuwaachia...

 

10 years ago

Vijimambo

UPDATES: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKATAA KUGOMBEA TENA UBUNGE

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amekataa ombi la wananchi wa  jimbo lake la uchaguzi la Katavi la kumtaka agombee tena ubunge katika jimbo hilo ili kuendeleza mipango mbalimbali ya maendeleo aliyoianzisha. 
Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili katika kigango cha Kanisa Katoliki cha Kibaoni wilayani Mlele (Jumapili, Julai 19, 2015), Waziri Mkuu Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa nafasi aliyopewa ya kulitumikia Taifa akiwa Waziri Mkuu kwa miaka minane na anaamini wakati umefika wa yeye kuwaachia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani