Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda kukagua ujenzi bomba la gesi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anaanza ziara ya siku mbili kukagua ujenzi wa bomba la gesi Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi ahitimisha Ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua mradi wa bomba la gesi aasilia

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO  Serikali imesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirishia gesi asilia kutoka Mtwara hadi Dar es salaam unaenda vizuri kulingana na ratiba yake na utakamilika kwa wakati.  Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea kituo cha kufua umeme kwa kutumia gesi asilia kinachojengwa Kinyerezi wakati akihitimisha ziara yake ya siku mbili ya kukagua mradi wa ujenzi wa bomba la gesi jijini Dar es salaam.  Balozi Sefue alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Bomba la gesi kukamilika mwaka huu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amesema zoezi la utandazaji mabomba ya kusafirishia gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

shehena ya mwisho ya mabomba kwa ajili ya ujenzi wa bomba la gesi yawasili dar

 Katibu mkuu wizaraya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (Watatu kushoto), akizungumza jambo na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa (Wanne kushoto), wakati kamati hiyo ilipotembelea bandari ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kujionea kazi ya upakuaji vifaa vya ujenzi na kupokea shehena ya mwisho ya mabomba ya kupitishia gesi. Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo, Raha Mohammed (Kulia), Richard Ndasa (Wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo...

 

10 years ago

Michuzi

MHE PINDA kukagua ujenzi wa kiwanja wa Ndege wa Mwanza

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarest Ndikilo (kulia) na Katibu wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza  leo August 22, 2014 ambako August 23, 2014 atakagua ujenzi wa uwanja wa ndege na baadaye anatarajiwa kuongoza  harambee  iliyoandaliwa na Mkapa Foundation. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda kesho, Jumamosi Agosti 23, 2014 anatarajiwa kukagua ujenzi wa kiwanja wa Ndege...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.

PG4A5517

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw.  Otty Msuku  ambaye ni Mtanzania ,  Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar  wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5521

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...

 

11 years ago

Michuzi

UTANDAZAJI WA BOMBA LA GESI KUKAMILIKA JULAI

 Na Saidi Mkabakuli  Maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu kufuatia kuendelea vyema kasi ya kundaza bomba hilo.  Wakizungumza na wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Wahandisi wa Ujenzi kutoka Shirika la Mafuta Tanzania (TPDC), Mhandisi Mwita Yagela na Mhandisi Omary Kitiku wamesema kuwa kasi ya sasa ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kilichopo kijiji cha Madimba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani