Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Bomba la gesi kukamilika mwaka huu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amesema zoezi la utandazaji mabomba ya kusafirishia gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UTANDAZAJI WA BOMBA LA GESI KUKAMILIKA JULAI

 Na Saidi Mkabakuli  Maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu kufuatia kuendelea vyema kasi ya kundaza bomba hilo.  Wakizungumza na wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Wahandisi wa Ujenzi kutoka Shirika la Mafuta Tanzania (TPDC), Mhandisi Mwita Yagela na Mhandisi Omary Kitiku wamesema kuwa kasi ya sasa ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kilichopo kijiji cha Madimba,...

 

10 years ago

Habarileo

Bomba la gesi lahitaji fedha zaidi kukamilika

GHARAMA za ujenzi wa bomba la gesi lililokamilika na kesho kuwa na uwezo wa kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam zimeongezeka na kufikia Dola za Marekani bilioni 1.33 (Sh trilioni 2.7).

 

11 years ago

Michuzi

Mradi wa bomba la gesi asilia kukamilika kama ilivyopagwa - Profesa Muhongo

 Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Joseph Simbakalia akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini pamoja na ujumbe alioambatana nao akiwemo balozi wa China nchini Bw…. Mara baada ya kufika ofisini kwake kuelezea uwepo wapo katika mkoa huo

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe John Simbakalia  akimweleza Waziri wa Nishati na Madini jambo linalohusu sekta ya umeme ambapo Prof. Muhongo anaisimamia ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Mkandarasi anayehusika na usambazaji wa umeme vijijini Bwana  Luta (mwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda kukagua ujenzi bomba la gesi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anaanza ziara ya siku mbili kukagua ujenzi wa bomba la gesi Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.

 

10 years ago

Michuzi

Kinyerezi I kukamilika mwaka huu

Kituo cha kuchakata na kuzalisha umeme kwa njia ya gesi cha Kinyezi I kimekamilika kwa asilimia 88 na kinatarajiwa kuzalisha umeme kuanzia Septemba mwaka huu.
Hayo yalisemwa na Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima akiwatembeza katika kituo hicho wanajopo la ukaguzi wa miradi kutoka Ofisi ya Raisi Tume ya Mipango walipotembelea mradi huo.   
“Kazi zinazoendelea kwa sasa ni ufungaji wa mifumo katika mitambo; na njia za kusafirisha umeme...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu

 Kazi za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukiendelea kwa kasi
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikagua moja ya nguzo za barabara za juu flyovers katika maingilio ya Daraja la Kigamboni. Katika eneo hilo kutajengwa barabara za juu ili kuruhusu magari kupita kwa urahisi wakati wa kuingia na kutoka katika daraja hilo. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akifanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi bomba jipya Ruvu Chini mbioni kukamilika

UJENZI wa bomba jipya kutoka mtambo wa Ruvu Chini kwenda matenki yaliyoko Chuo cha Ardhi, Dar es Salaam unakaribia kukamilika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani