Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu

 Kazi za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukiendelea kwa kasi
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikagua moja ya nguzo za barabara za juu flyovers katika maingilio ya Daraja la Kigamboni. Katika eneo hilo kutajengwa barabara za juu ili kuruhusu magari kupita kwa urahisi wakati wa kuingia na kutoka katika daraja hilo. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akifanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU, DARAJA LA KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ngazi katika Kivuko cha Msanga Mkuu MV Mtwara kwa ajili ya kufanya ukaguzi wake leo mjini Dar es Salaam.  Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wa kwanza kulia akipewa maelezo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe kuhusu ujenzi wa kivuko cha Msanga Mkuu(MV Mtwara) kilicho katika hatua za mwisho za matengenezo chini ya… ...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akagua ujenzi wa daraja la Kigamboni na mradi wa nyumba za mashirika ya NSSF na NHC

PG4A1322

Waziri  Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1354

PG4A1494

PG4A1537

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1743

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na  Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus  Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba  na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JUU UBUNGO NA BARABARA, AONGEA NA KUSIKIL|IZA KERO ZA WANANCHI MBEZI MWISHO, MLOGANZILA, MLANDIZI,CHALINZE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kukagua Maendeleo ya ujenzi katika sehemu ya  gorofa ya pili ya barabara ya juu Ubungo Interchange ambayo iko katika hatua za mwisho kukamilika kwa ajili ya magari kuanza kupita. Mradi mzima wa Makutano hayo ya Ubungo umefikia asilimia 75. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng....

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameusifu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Daraja la Kigamboni kukamilika Desemba

UJENZI wa daraja linalounganisha Kigamboni na Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Daraja Kigamboni kukamilika mwakani

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuwa daraja la Kigamboni linatarajiwa kukamilika Julai Mwakani. Akizungumza mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya ukaguzi wa miradi inayosimamiwa na Mfuko...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU KATIKA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA

WAKAZI WAISHIO PEMBEZONI MWA BARABARA KUU YA IGUNGA - NZEGA WAKIMSILIZA WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUHUSU OMBI LA KUWEKEWA MATUTA. HATA HIVYO WAZIRI WA UJENZI ALIWAJIBU KUWA SHERIA HAIRUHUSU KUWEKA MATUTA KWENYE BARABARA KUU ILA TANROADS ITAWEKA ALAMA ZA BARABARANI KATIKA ENEO HILO ILI WANANCHI HAO WASIPATE SHIDA YA KUVUKA BARABARA. WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIPANDA JUU YA DARAJA LA MBUTU ILI KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WAKE AMBAO UMEFIKIA ZAIDI YA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani