MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU, DARAJA LA KIGAMBONI
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ngazi katika Kivuko cha Msanga Mkuu MV Mtwara kwa ajili ya kufanya ukaguzi wake leo mjini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wa kwanza kulia akipewa maelezo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe kuhusu ujenzi wa kivuko cha Msanga Mkuu(MV Mtwara) kilicho katika hatua za mwisho za matengenezo chini ya… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2gU_htgUG2k/VZLr3o7B3DI/AAAAAAAHmAI/QA5LJIKmJ2s/s72-c/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
Dkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu
![](http://4.bp.blogspot.com/-2gU_htgUG2k/VZLr3o7B3DI/AAAAAAAHmAI/QA5LJIKmJ2s/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-O0GsIuUMmeI/VZLr3_tVkZI/AAAAAAAHmAY/sQFEFk9ribY/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikagua moja ya nguzo za barabara za juu flyovers katika maingilio ya Daraja la Kigamboni. Katika eneo hilo kutajengwa barabara za juu ili kuruhusu magari kupita kwa urahisi wakati wa kuingia na kutoka katika daraja hilo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-dWK75pqfR4Y/VZLr2qcK1bI/AAAAAAAHmAE/KBcOCLMCd28/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
Pinda akagua ujenzi wa daraja la Kigamboni na mradi wa nyumba za mashirika ya NSSF na NHC
Waziri Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI ARIDHISHWA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI
Akizungumza mara baada ya Ukaguzi huo wa kushtukiza, Mhandisi Iyombe amekipongeza Kikosi hicho cha Wanamaji kwa kufanya kazi kwa kiwango cha juu na haraka hivyo kuwa na matumaini ya kukamilika kwa kazi hiyo kwa muda mfupi ili...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA UJENZI AKAGUA KIVUKO CHA MV UTETE WILAYANI RUFIJI MKOANI PWANI
10 years ago
MichuziKivuko kipya cha Msangamkuu chawasili Mkoani Mtwara
10 years ago
Michuzi20 Aug
11 years ago
MichuziMH. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU KATIKA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA