MH. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU KATIKA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA
WAKAZI WAISHIO PEMBEZONI MWA BARABARA KUU YA IGUNGA - NZEGA WAKIMSILIZA WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUHUSU OMBI LA KUWEKEWA MATUTA. HATA HIVYO WAZIRI WA UJENZI ALIWAJIBU KUWA SHERIA HAIRUHUSU KUWEKA MATUTA KWENYE BARABARA KUU ILA TANROADS ITAWEKA ALAMA ZA BARABARANI KATIKA ENEO HILO ILI WANANCHI HAO WASIPATE SHIDA YA KUVUKA BARABARA. WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIPANDA JUU YA DARAJA LA MBUTU ILI KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WAKE AMBAO UMEFIKIA ZAIDI YA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU WILAYANI IGUNGA LEO.
Meneja Mradi wa ujenzi wa Daraja la Mbutu,Injinia Makoye Luhuya akielezea maendeleo ya ujenzi wa daraja la Mbutu kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana mapema leo,wilayani Igunga mkoani Tabora Ujenzi wa daraja la Mbutu ukiendelea kwa kasi Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiweka mbao wakati wa ujenzi wa daraja hilo ukiendelea,wilayani Igunga mkoani Tabora mapema leo asubui. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa ujenzi...
11 years ago
GPLKATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU IGUNGA
10 years ago
MichuziMAKANDARASI WAZALENDO JV MBUTU WAKAMILISHA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU IGUNGA†NA KUKABIDHI RASMI
Itakumbukwa Daraja la Mbutu limejengwa na Wakandarasi Wazarendo walioungana kwa gharama ya shilingi bilioni 12. Na huu ni mradi mkubwa wa kwanza nchini kujengwa na Makandarasi wazarendo ambapo umekamilika kwa wakati kama matakwa ya mkataba yalivyohitaji.
Huu ni muendelezo wa juhudi za wizara ya...
10 years ago
MichuziDkt Magufuli akagua ujenzi wa Madaraja katika Barabara ya Bagamoyo-Msata mkoani Pwani
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya chini ya daraja la Kariakoo. Mkandarasi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata kushoto akitoa maelezo ya Mradi wa Madaraja katika eneo la Ruvu Chini Mkoani Pwani huku...
11 years ago
GPLMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU, DARAJA LA KIGAMBONI
10 years ago
MichuziDkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikagua moja ya nguzo za barabara za juu flyovers katika maingilio ya Daraja la Kigamboni. Katika eneo hilo kutajengwa barabara za juu ili kuruhusu magari kupita kwa urahisi wakati wa kuingia na kutoka katika daraja hilo. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akifanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa...
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA DARAJA LA NANGOO PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA NDUNDU —SOMANGA, AMPA MKANDARASI MIEZI MIWILI KUIKAMILISHA
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA MIZANI YA KISASA YA VIGWAZA MKOANI PWANI PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA KIBAMBA-KWEMBE-MAKONDEKO (17KM) ITAKAYOPITA KATIKA CHUO KIKUU CHA MUHIMBILI, MLOGANZILA, KIBAMBA
11 years ago
Dewji Blog26 May
Kinana akagua Ujenzi Daraja la Sibiti linalounganisha Singida na Simiyu na kuhutubia mamia ya Wananchi katika Mikutano ya hadhara Iramba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa orodha ya vijiji vitakavyopata huduma ya umeme katika wilaya ya Mkalama, alipohutubia mkutano wa hadharakwenye kijiji cha Nkungi, Wilaya humo, Mei 24, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba mkoani Singida.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana...