Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU IGUNGA‏

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa ujenzi wa Daraja la Mbutu kata ya Butu Wilayani Igunga Bw Christopher Makoye wakati alipokagua ujenzi wa daraja hilo ambalo limekuwa kero kwa muda mrefu kwa wananchi wanaounganishwa na kuptia daraja hilo, Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya mikoa mitatu ya Tabora, Manyara na Singida akikagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU WILAYANI IGUNGA LEO.


 Meneja Mradi wa ujenzi wa Daraja la Mbutu,Injinia Makoye Luhuya akielezea maendeleo ya ujenzi wa daraja la Mbutu kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana mapema leo,wilayani Igunga mkoani Tabora  Ujenzi wa daraja la Mbutu ukiendelea kwa kasi  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiweka mbao wakati wa ujenzi wa daraja hilo ukiendelea,wilayani Igunga mkoani Tabora mapema leo asubui.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa  Meneja Mradi wa ujenzi...

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA ATEMBELEA SINGIDA MASHARIKI

Ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi ukiendelea katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu,ambaye anadaiwa kuwakataza  wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo. Mmoja wa Viongozi wa CCM,Wilaya akimpatia tofari Kinana walipokuwa…

 

11 years ago

Michuzi

MH. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU KATIKA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA

WAKAZI WAISHIO PEMBEZONI MWA BARABARA KUU YA IGUNGA - NZEGA WAKIMSILIZA WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUHUSU OMBI LA KUWEKEWA MATUTA. HATA HIVYO WAZIRI WA UJENZI ALIWAJIBU KUWA SHERIA HAIRUHUSU KUWEKA MATUTA KWENYE BARABARA KUU ILA TANROADS ITAWEKA ALAMA ZA BARABARANI KATIKA ENEO HILO ILI WANANCHI HAO WASIPATE SHIDA YA KUVUKA BARABARA. WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIPANDA JUU YA DARAJA LA MBUTU ILI KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WAKE AMBAO UMEFIKIA ZAIDI YA...

 

10 years ago

GPL

ABDULRAHMAN KINANA KATIBU MKUU WA CCM AENDELEA NA ZIARA RUFIJI‏

Katibu Mkuu wa CCM  Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Juma Abeid Diwani wa Kata ya Magawa wilayani Mkuranga wakati alipotembelea shamba la Mikorosho lenye hekari 1000 ambapo mikorosho inayokaribia elfu 20 imeharibika vibaya baada ya kupata ugonjwa unaonyausha mikorosho hiyo , Diwani huyo amesema wananchi wa kata hiyo wako katika hali mbaya kwakuwa zaidi ya miaka minne sasa hawajavuna chochote na maisha yao...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA ASHIRIKI KUPANDA ZAO LA MWANI BAHARINI‏

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana Samia Suluhu Mbunge wa jimbo la Makunduchi mara baada ya kuwasili katika tawi la Pete Makunduchi, katikati ni Mwakilishi wa jimbo la Makunduchi Haroun Ali Suleiman.…

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MAGHARIBI‏

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mti wa viungo aina ya Mdalasini wakati akipata maelezo kutoka kwa Othman Mohamed mwenyekiti wa kikundi Kinachoendesha shamba la Spice Solution Farm lililopo Mwakaje jimbo la Mfenesini Zanzibar wakati aliposhiriki pia shughuli za upandaji wa miti katika shamba hilo, Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akagua shughuli za kilimo cha mkono kijiji cha Kwemnyefu

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima na kupanda mahindi katika shamba kijijini Kwemnyefu Kata ya Mpapayu wilayani Mheza mkoani Tanga pamoja na wananchi wakati alipotembelea shamba hilo na kukagua shughuli za kilimo cha mkono, Katika shughuli hiyo katibu mkuu huyo ameshirikiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI DODOMA NA KUANZA ZIARA WILAYA YA MPWAPWA‏

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea mkoani Ruvuma ambako alihudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi Marehemu John Damiano Komba aliyefariki hivi karibuni, Chama cha Mapinduzi kilikuwa na maombolezo ya kitaifa ya siku tatu mpaka mazishi ya kiongozi huyo yalipofanyika jana yakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani