Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI DODOMA NA KUANZA ZIARA WILAYA YA MPWAPWA‏

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea mkoani Ruvuma ambako alihudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi Marehemu John Damiano Komba aliyefariki hivi karibuni, Chama cha Mapinduzi kilikuwa na maombolezo ya kitaifa ya siku tatu mpaka mazishi ya kiongozi huyo yalipofanyika jana yakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awasili Dodoma na kuanza ziara wilaya ya Mpwapwa

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea mkoani Ruvuma ambako alihudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi Marehemu John Damiano Komba aliyefariki hivi karibuni, Chama cha Mapinduzi kilikuwa na maombolezo ya kitaifa ya siku tatu mpaka mazishi ya kiongozi huyo yalipofanyika jana yakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Kikwete

Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AWASILI MKOANI DODOMA KUANZA ZIARA YA SIKU TISA

 Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa uwanja wa ndege mjini Dodoma mapema leo asubuhi na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo, Mh. Adam Kimbisa,tayari kwa kuanza ziara ya siku tisa, yenye lengo la kukagua, kuhimiza miradi ya maendeleo ya wananchi pamoja na kuangalia uhai wa chama, ambapo mara baada ya kuwasili amefanya mkutano wa ndani na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Wilaya ya Mpwapwa yenye majimbo mawili ya Uchaguzi.Kinana ametokea Mkoani Ruvuma mara baada ya kushiriki mazishi...

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWASILI MKOANI RUKWA LEO TAYARI KWA KUANZA ZIARA YAKE YA SIKU 21‏


Baadhi ya Wananchi na wanachama mbalimbali wakisubiri kumpokea katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege mjini Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo asubuhi.
Ndege iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ikiwasili katika uwanja wa ndege mjini Sumbawanga,mkoani Rukwa mchana huu.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awasili Mkoani Iringa kwa ziara ya siku sita

2

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili mkoani Iringa kuanza ziara ya siku sita ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na kukagua uhai wa chama. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi, Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu na katikati ni Katibu...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MAGHARIBI‏

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mti wa viungo aina ya Mdalasini wakati akipata maelezo kutoka kwa Othman Mohamed mwenyekiti wa kikundi Kinachoendesha shamba la Spice Solution Farm lililopo Mwakaje jimbo la Mfenesini Zanzibar wakati aliposhiriki pia shughuli za upandaji wa miti katika shamba hilo, Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA LEO.




 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikatiza kwenye moja ya mtaro alipokwenda kukagua na kushiriki kulima katika shamba la mkulima bora wa mwaka 2014,Bi.Anna Mlewa katika kijiji cha Berege,wilaya ya Mpwapwa. Kinana ameanza ziara ya siku 9 mkoani Dodoma ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua,kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2010 pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Pichani Kati ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameongoza na Mkulima bora wa mwaka...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE NEWALA, LEO YUKO TANDAHIMBA‏

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa kiwanda cha kubangua korosho mjini Newala kulia Niry Patel Mratibu wa Usafirishaji na katikati ni Ednyadayu Meneja wa ufundi.…

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI MKOANI SINGIDA KUANZA ZIARA YAKE SIKU NANE

Katibu Mkuu wa CCM, Kinana, akisalimiana na Mbunge wa Singida Magharibi, Lazaro Nyalandu, wakati wa mapokezi yake baada ya kuwasli mpakani mwa Tabora na Singida,  mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akisaidiwa na Mbunge wa Manyoni Magharibi, Paul Luanje, kuwapa mafundi bati waliokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani