Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI ARIDHISHWA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe ameelezea kuridhishwa kwake na kazi ya ukarabati wa Kivuko cha MV Kigamboni unaoendelea chini ya kikosi cha Ufundi cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kitengo cha Wanamaji uliofikia asilimia 40 ya matengenezo yake.
Akizungumza mara baada ya Ukaguzi huo wa kushtukiza, Mhandisi Iyombe amekipongeza Kikosi hicho cha Wanamaji kwa kufanya kazi kwa kiwango cha juu na haraka hivyo kuwa na matumaini ya kukamilika kwa kazi hiyo kwa muda mfupi ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KILIMO ARIDHISHWA NA UJENZI WA SKIMU UMWAGILIAJI YA MVUMI


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akiwa ameshika banio la kufungulia maji katika mtaro uliokamilika kwenye skimu ya umwagiliaji kijiji cha Mvumi wilaya ya Kilosa.Katibu Mkuu huyo alifanya ziara ya kushtukiza kwenye mradi huo leo Ijumaa kuona maendeleo ya maagizo aliyoyatoa Aprili 22,mwaka huu.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akitoa maelekezo kuhusu ghala la kijiji cha Kigugu wilaya ya Mvomelo alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye mradi huo.Katikati ni Eng.Amandus...

 

11 years ago

GPL

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU, DARAJA LA KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ngazi katika Kivuko cha Msanga Mkuu MV Mtwara kwa ajili ya kufanya ukaguzi wake leo mjini Dar es Salaam.  Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wa kwanza kulia akipewa maelezo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe kuhusu ujenzi wa kivuko cha Msanga Mkuu(MV Mtwara) kilicho katika hatua za mwisho za matengenezo chini ya… ...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU CHAMURIHO ARIDHISHWA NA UJENZI WA CHELEZO NA MELI MPYA MWANZA

 Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho, akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa meli mpya, chelezo na Ukarabati wa Meli ya MV Victoria jijini Mwanza, Mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Eric Hamissi. Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho, akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Kampuni ya KTMI ya Korea Kusini inayofanya ukarabati wa meli Meli ya MV Victoria jijini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni

pix 1

Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli  akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika  uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni  jana jijini Dar es  Salaam kinachofanyiwa matenganezo  na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.

pix 2

Mtendaji  Mkuu  Temesa Injinia  Marceline Magesa akitoa neno la shukrani  kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...

 

11 years ago

Michuzi

DC Hai atembelea kivuko cha mnepo cha Kiyungi, aahidi kukifanyia ukarabati

Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga ametembelea kivuko cha Kiyungi kinachofahamika kama daraja la Mnepo kinachounganisha wilaya ya Hai na Moshi ambacho sasa hivi kipo katika hali mbaya kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Mhe Makunga ameahidi kwamba kivuko hicho kitaanza kufanyiwa ukarabati wa dhararu Jumamosi ijayo angalau kiweze kutumika wakati zinasubiriwa fedha za ujenzi wa kivuko kipya.Ameeleza kuwa kampuni ya Sukari ya TPC imekubali kutoa baadhi ya vifaa vya ukarabati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani